Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

Hahhaa mi bora nioe bikra kidogo mawazo yatatulia ila ukutane na mtumba kwenye scenario kama hizi lazima ujihoji ni wangapi walipita kabla yako, inauma sana mkuu ila ndo hivo unakuta ushayatimba
 
Ha ha ha huwezi jua siku ya kuchapiwa kuwa mpole tu
 
Ndoa iheshimiwe nyie acheni mzaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…