Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

Mwenzako akinyolewa zako tia maji
 
Ila sisi binadamu tuna maisha magumu sana, unawezaje kuishi milele kwa kumpenda binadamu mmoja tu...
Hata dini zenyewe binadamu wanahamahama... hahaha nimewaza tu...
Mfyuuuuuuuu!!

Hebu Baki njiaaa kuu hukoo!


(Naimba tu lo😂)
 
We umeyakuza bwana, hiyo theory yako ni too much
 
Welcome

Mkionaga watu tupo kwenye kalandinga la magereza mnatuonaga mafala sana..........
Mkuu nimecheka sanaa, kwahiyo tukiwaona mmejikunyataa tunawaona vibaka tu kumbe wengine kuwapaka parachute wagoni
 
Hadi nimecheka. Mapenzi bwana we acha tu, pole sana ndugu yangu. Vijana huwa hawanogewi na mwanamke hadi wasikie ana mtu rasmi.

Ova
Kweli kabisaaa, nakumbuka kulikua na pisi moja mbofu mbofu kitaani kila mtu anaicheka na kuipondea ,

Nikaona so kesi nikajiweka bwana bwana haukupita mwezi watu haooo mpaka balozi wa nyumba kumi mzee nyoko yule nae ndani anaomba hisani
 
Mwisho wa siku acha kumchunguza mkeo...
 
Ungeifata hiyo namba watsapp..kisha ungempostia kichupa cha mafuta ya nazi ya parachute,kikopo cha babycare/Vaseline na tube ya KLY gel...achague moja ipi itamfaa siku ya tukio
 
Ndiyo shida ya kutegemea mke mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…