Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

Jitahidi kunywa chai ya Tangawizi na Limau kabla hujalala daily
 
Hahahahaa msitutie presha tulio chamani
Ukweli ndio huo.

Wanawake wajanja sana. Atakuonesha wanaume anaotaka uwaone. Ili ujue ni mwaminifu, kumbe...

Sema nini, hakuna mwanamke asiyegongwa nje, hata mama mchungaji.

Muhimu anakuheshimu na mnalea watoto wenu. 😂
 
Acha uwongo mkuu
 
Kweli kabisaaa, nakumbuka kulikua na pisi moja mbofu mbofu kitaani kila mtu anaicheka na kuipondea ,

Nikaona so kesi nikajiweka bwana bwana haukupita mwezi watu haooo mpaka balozi wa nyumba kumi mzee nyoko yule nae ndani anaomba hisani
Ndivyo inavyokuwa, halafu wanakuwa wanakuponda wewe kwa mpenzi ili akuone huna maana na hustahili kuwa naye.

Sasa sijui huwa inakuwa wivu, au hawana vipaji vya kugundua 'mali', hadi nashindwa kuelewa ni nini hasa huleta hii kitu.

Ova
 
Kwahiyo wewe ndio una kipaji eeeh? Ole wako!
 
Ulioa mwana chuo?
Bro umeingilia ndoa ya mwenzio.
Ndoa za vyuoni hazifi, ni zinapoa tu.
 
Na nakuhakikishia huyo dogo atamla tu wife wako. Ni jambo la muda tu.

Sasa jiandae tu kulia ama ulie sasa ili baadae ukijua ukweli usilie. Angalia mwenyewe wapi ina faida, kulia sasa ama kulia baadae ila kulia kuko pale pale.
..na wanamkula hata sasa sema hajajua tu!
 
Ndiyo tatizo la kukimbilia kuoa hilo, kuchapiwa mbona jambo dogo tu wala siyo la kuumiza kichwa.
 
Hahaha hahaha.. yaan hii thread nausoma nipo kwenye gari nimecheka sana..Mkuu mke anauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…