Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Mwanamke asipotongozwa atarudi kwenye kiooKiongozi kutongozewa mke hiyo ipo tu sema msimamo wake ndo muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke asipotongozwa atarudi kwenye kiooKiongozi kutongozewa mke hiyo ipo tu sema msimamo wake ndo muhimu.
Hii ni kweli kabisaMwanamke asipotongozwa atarudi kwenye kioo
Hahahahaa msitutie presha tulio chamaniYeah! Hauwezi hata kujua uwepo wake.
Ukweli ndio huo.Hahahahaa msitutie presha tulio chamani
Acha uwongo mkuuUkweli ndio huo.
Wanawake wajanja sana. Atakuonesha wanaume anaotaka uwaone. Ili ujue ni mwaminifu, kumbe...
Sema nini, hakuna mwanamke asiyegongwa nje, hata mama mchungaji.
Muhimu anakuheshimu na mnalea watoto wenu. 😂
Ndivyo inavyokuwa, halafu wanakuwa wanakuponda wewe kwa mpenzi ili akuone huna maana na hustahili kuwa naye.Kweli kabisaaa, nakumbuka kulikua na pisi moja mbofu mbofu kitaani kila mtu anaicheka na kuipondea ,
Nikaona so kesi nikajiweka bwana bwana haukupita mwezi watu haooo mpaka balozi wa nyumba kumi mzee nyoko yule nae ndani anaomba hisani
Kwahiyo wewe ndio una kipaji eeeh? Ole wako!Ndivyo inavyokuwa, halafu wanakuwa wanakuponda wewe kwa mpenzi ili akuone huna maana na hustahili kuwa naye.
Sasa sijui huwa inakuwa wivu, au hawana vipaji vya kugundua 'mali', hadi nashindwa kuelewa ni nini hasa huleta hii kitu.
Ova
Nimesema najiuliza tu b... LolKwahiyo wewe ndio una kipaji eeeh? Ole wako!
Ulioa mwana chuo?Kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.
Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
..na wanamkula hata sasa sema hajajua tu!Na nakuhakikishia huyo dogo atamla tu wife wako. Ni jambo la muda tu.
Sasa jiandae tu kulia ama ulie sasa ili baadae ukijua ukweli usilie. Angalia mwenyewe wapi ina faida, kulia sasa ama kulia baadae ila kulia kuko pale pale.
Ndiyo tatizo la kukimbilia kuoa hilo, kuchapiwa mbona jambo dogo tu wala siyo la kuumiza kichwa.Kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.
Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
Hahaha hahaha.. yaan hii thread nausoma nipo kwenye gari nimecheka sana..Mkuu mke anauma sanaKuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.
Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
Kua uyaoneAcha kushadadia uovu, hilo si la kawaida.
Watu wa humu wanapenda mambo ya kuwekana. Ni humu tu32 people are here
Huna kazi ndio maana unahangaika na simu ya mkeoKwamba nikiwa na kazi ndo nisijali masuala ya mke wangu? Unajikuta busy kutafuta hela🚮