haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.
Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.