Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.

Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
 
kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.

Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
Kwa mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida, cha msingi ni kujitambua kwake tu na wala usihangaike na simu yake, utajisumbua bure tu anatakiwa aelewe kama yeye ni mke wa mtu, ukihangaika nae utapoteza focus ya maisha tu.
 
Ukute huyo ndo kaishi na unayemuita mkeo kipindi chose wako chuo, ghetto moja,wewe unataka asichapwe. Huoni kama mkeo atakua hajatendewa haki?

Wewe umedeiti nae miezi miwili, umeoa unataka akate mahusiano na mtu ambaye kamkojoza miaka mingi?
Acha hizo,muache aliwe.
 
Ukute huyo ndo kaishi na unayemuita mkeo kipindi chose wako chuo,ghetto moja,wewe unataka asichapwe... huoni kama mkeo atakua hajatendewa haki?
Wewe umedeiti nae miezi miwili,umeoa... unataka akate mahusiano na mtu ambaye kamkojoza miaka mingi?
Acha hizo,muache aliwe
Kama hakumkuta bikra inabidi afikirie hii point,
 
kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.

Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
Acha hizo mwanaume!
The pussy is not yours! It's just your turn!
Haya mambo yatakupotezea maisha kwa pressure au hata murder case!
Relax, enjoy life, enjoy your turn, keep going bro...
 
Kama hakumkuta bikra inabidi afikirie hii point,
Inashangaza sana ukute hakumkuta bikra,halafu anajifanya soho inamuuma,ilhali kuna watu wameanza nae (mkewe) toka shule ya msingi,wanamla,sekondari ukute mkewe alikua day schlolar,akaendelea kupigwa.

kaenda JKT wahuni wakapiga,kaingia chuo ameoigwa,tena inavyokuaga mke hamuonyeshagi mume mtarajiwa utundu wote ambao,alifunzwa katika mapito yake,ili aendelee kuwa trusted.

Awe mvumilivu,kwanza ni utoto kumuonea mke wivu,yeye kapewa dhamana tu ya kuishi nae,siyo kwamba anapendwa kuliko waliomlala mkewe,kabla ya kuolewa au sasa.
 
Back
Top Bottom