Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

Mim nakushauli muombe Mungu tu uache hiyo Tabia na Tabia zingine zitakazo kukosesha mbingu, pia

Okoka
 
Vijana wa kitanzania hizi nguvu wanazowekeza kwenye ngono, na sifa za kuwa na wanawake wengi wangeziwekeza kwenye swala la maendeo tungepiga hatua kubwa sana.

Ila ndipo tulipofika hapa nguvu kazi inaishia vitandani, so sad.
 
Babu yako alikuwa na wake wangapi??hii ni asili yetu mkuu we kama huna nguvu shauri yako
 
Hiyo haiwezi kukufanya kutokwenda mbinguin kama ukitubu kwa kweli yeye Mungu ni wa rehema atakusamehe tu. Lakini ujue motoni kuna mateso makali sana. Jitahidi mkuu mtafute Bwana Yesu atakupa ushindi wa kuacha dhambi ya uzinzi. Nimeona wengi tu wakiokolewa na huyu Bwana Yesu na kuacha kabisa. Hakuna kisichowezekana chini ya jua. Mungu akusaidie.
 
YYaani umengonoka na wanawake wengi namna hiyo afu ukute hujawahi singiziwa hate mimba😂
 
YYaani umengonoka na wanawake wengi namna hiyo afu ukute hujawahi singiziwa hate mimba😂
Nina watoto America na karibu ka mkoa nilioishi na nilivyo na damu kali
 
Basi kwakuwa unajua unachofanya na umejichagulia hatima yako basi sina cha kuongeza,Mungu wetu ni wa demokrasia ametupa uhuru wa kuchagua njia zetu ila anasema wanaochagua njia yake wana heri.
Wakina kinjekitile, Mkwawa na wengine walee wa zamaniiii.

INAKUAJE HAWA?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…