Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

Oya hebu kuweni wawazi basiii....

Yaani 98% ya waliochangia hoja humu mko opposite na mtoa mada kama vile nyie huwa hamfanyi sex

Mi najua karibia wengi hapa ni wazinzi tu ila mmemuandama mtoa mada mara aache, ooh ni dhambi, kama vile nyie hamzichakati mbususu
 
Sifa moja ya sisi African ni unafiki kujifanya watakatifu ila kiuhalisia ni wahuni tu
 
Usikate Tamaa Na rehma za Mungu,Ukiomba Msamaha kabla ulevi wa Kifo Haujakufikia(Sakaratul Mauti) basi Mungu anakusamehe.
Firauni Na Udhalimu wake wote Lakin Bado Mungu alimtuma mtume Mussa Ili Amlinganie Asamehewe.Wewe Nani Usisamehewe

Kama kweli Unaichukua Tabia Yako hiyo na Inakukera Pia Basi hapo Ndo Mwanzo wa Kutubia.Amka Usiku Omba Toba Utasamehewa.
 
Mwezi wa toba huu, tubu dhambi zako na Mungu atakusamehe.
 
Ndio starehe pekee ninayofurahia
Biblia inasema wema watazidi kuwa wema na wazinzi watazidi kuwa wazinzi nk. Huu muda tuliopo ni free zone. Bwana awajua walio wake. Wanaisikiliza sauti yake. Na ametoa nafasi so uko huru kufanya chochote matokeo yapo mwisho. Ila anatushaur tuchague uzima tuishi. Dhambi ni mauti na azinie na mwanamke hana akili kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…