Siku nikifika kanisani kwa Mwamposa kama pale haabudiwi Mungu wa kweli huduma yake nitaifunga na atachakaa.

Siku nikifika kanisani kwa Mwamposa kama pale haabudiwi Mungu wa kweli huduma yake nitaifunga na atachakaa.

tofauti nakuwa mwamuzi wa 🇹🇿 kuna sehemu mnashirikiana na mungu mkuu?
 
wafuasi wake kama mko apa nyie na ng'ombe tofauti hakuna
Mwanzo 2:7 BHN
[7] Basi, Mwenyezi-Mungu akamfanya mwanamume kwa mavumbi ya udongo, akampulizia puani pumzi ya uhai, na huyo mwanamume akawa kiumbe hai.
Mwanzo 2:19 BHN
[19] Basi, kutoka katika udongo, Mwenyezi-Mungu akaumba kila mnyama wa porini na kila ndege wa angani, halafu akamletea huyo mwanamume aone atawapa majina gani; na majina aliyowapa viumbe hao, yakawa ndio majina yao.
 
Back
Top Bottom