Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

Uchawi ni moja ya vitu vinavyofanya Africa iendelee kubaki nyuma saana.

Wangemchoma moto tu akafa....na yeyote mchawi anayekamatwa auwawe.. ndani ya miaka kumi wangepotea wote na binadamu wangekuwa huru..
 
Kabisaaamkuu
 
Mchawi gani huyo anarusha ungo akiwa uchi. Me sifahamu kama sheria zetu zinaruhusu
 
Hii story sidhani kama ina ukweli,yaani uamke asubuhi yote hiyo,uache kazi zako na kwenda eneo la tukio,halafu ufike pale hata picha usipige,then ukiingia JF uanzishe uzi na kuweka picha isio husiana na tukio...!
 
Naianza 2022 kwa ushirikina.

Nipo Kwa Msisi tangu jana natengenezwa
 
Back
Top Bottom