Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

"Alikuja na gari dogo haina ya V8"

🤣🤣🤣
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee Kibatala acha kumpiga maswali mleta mada
 
Muda wote alishinda kifuani kwako then akakufanyia usafi sasa sijui alifanya usafi saa ngap wakat alishinda kifuani kwako muda wote
Ni jini hilo mkuu, lolote linawezekana. Hata hivyo hii mambo ya kuchunguza kipengele kwa kipengele kama wasoma ripoti wa benki ya dunia haijakaa poa. Kuandika sio kazi rahisi, makosa madogo madogo ya kiufundi kama hayo yanavumilika
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanamke anaweza kukununulia sahani nne tu za mfupa na vikombe viwili vya plastiki ila mkiachana anakutangaza alikuinua kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…