Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo usikariri bei zako ukajua ndo bei za wengine. Ni kukosa hoja kukosoa manunuzi ya mwenzio kisa we unajua bei zako..na hujui alinunua lini na wapiNimegundua Huna hoja .... umesha anza kuleta habari za magari show room
Mkuu tusimulie tujifunzeWe usiwaseme hao viumbe me yalishawahi nikuta sina hamu hata
Naweza nisijue kila kitu ila bei ya kitanda na godoro nazijua mkuuuNdo usikariri bei zako ukajua ndo bei za wengine. Ni kukosa hoja kukosoa manunuzi ya mwenzio kisa we unajua bei zako..na hujui alinunua lini na wapi
Pia dizain naona kama una tokwa mapovu .... hapa tupo kwajili ya kuchangamsha jukwaaa hatupo kwajili ya kubishana ........ au umezoea kubishana mzeeNaweza nisijue kila kitu ila bei ya kitanda na godoro nazijua mkuuu
Ilikua 2016 nilikua kwenye kipindi na simu ilikua silent nilivyo toka kwenye kipindi nikakuta missed call ina kama zero sita katika ILA sikuwaza chochote nikaamua kupiga ile namba ILI kujua alo nipigia ile simu inaita nasikia vyuma vinagongana yaani kelele kibao na ilivyo pokelewa nikasikia sauti ya kiume nikamuuliza nani akajibu me jini basi me nikajua ni mtu ananifaham ILA ananitania nikauliza tena nani? Akajibu jini nikaona anazingua tu nikakata na huku nikijisemea mjinga GANI huyu ananichora [emoji57]BASI nilivyo fika home nikapiga tena mwito wa ile simu nasikia vyuma tena na ikapokelewa BADO nikawa NASIKIA kelele za vyuma tu sisikia mtu akiongea hapo nikaogopa nikakata weeee varangati lilianza usiku alikua jini anatembea kama moshi mweusi hapo sielewi nilikua naota au nilikua macho ILA nilijipa UJASIRI nikaanza kukemea badae yule jini akaingia uvungun mwa kitanda mi nikaendelea kukemea KWA nguvu na hasira baadae akatokea dirishani nikasitua yaani chumban kama kuna kitu kilikua kinaendelea na nimesweat mwili mzima yaani siwezi hata kusogeza mikono BASI nikakata hapo kitandani kama dk 20 then nikaamuka na kuanza kuomba ni baadae nikalala siku ya pili tena akaja yaani moshi mweusi ule ule nilipambana nae akakimbia siku ya tatu tena alikuja nikapambana naye akakimbia akatokea dirishani na nikaendelea kufunga na kuomba na hakuja maisha yakaendelea ILA siku zile tatu zilikua chungu kwangu japo nyumban hakujua mtuMkuu tusimulie tujifunze
Dah hii lake nne sjui ni million nne maana imefanya mambo mengi kweli kitanda,godoro,mavaz,chakula Cha nyumban na pombe
kitanda 4×5 haiwezi fika bei hyo...Haya ngoja nikupe hesabu za makadirio hapa
1. Bei ya kitanda kipya 4*5 =250k
2. Bei ya godoro " mpya bei 150k
3 . Bei ya chakula kwa alivyo orothesha 30k
Happ haja weka mavazi
Jumlisha na kiwango aliyo baking nacho 50k
Unitumia mbao gani mkuu ..... icje ikawa unatumia mwembekitanda 4×5 haiwezi fika bei hyo...
ukiwa na 300k unapata kitanda na godoro 5×6 kama huamini njoo na hela yako,
tumkosoe kwa vyengine lakini sio hili
sio lazima mbao mkuu now kuna vya chuma, tofari nk.Unitumia mbao gani mkuu ..... icje ikawa unatumia mwembe
Unambana sana ndugu shaidi, umeanza kurusha ngumi za tumboKwako hapakua mbali na bar, dem mnatoka mtaa mmoja ila mwendo wa gari iliwachukua dakika 30..sawa ndugu msimuliaji tunaomba sehemu ya 5
😂😂😂Duuh kama itachukua wiki iishie hapahapa
Hahaha chai tamu lakini Wacha Tuendelee kuinjoy[emoji23][emoji23][emoji23] sasa si pesa ya kijini mkuu hata hauelewi pesa za kijini zinakuaje wewe enjoy story mkuu.. acha kulalama [emoji23][emoji23] sema Baba fety.. umetuweza angusha epsod tufurahie maisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Majini huwa yanaishi miaka mingi huu ni ukweli usio pingika wanaishi mpaka miaka 300 na zaidi. Wanakufa na wanazeeka.fetty hazeeki
Umezingua baba fetty🤣Mwombe tena mechi za kirafiki