Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Ndo usikariri bei zako ukajua ndo bei za wengine. Ni kukosa hoja kukosoa manunuzi ya mwenzio kisa we unajua bei zako..na hujui alinunua lini na wapi
Naweza nisijue kila kitu ila bei ya kitanda na godoro nazijua mkuuu
 
Naweza nisijue kila kitu ila bei ya kitanda na godoro nazijua mkuuu
Pia dizain naona kama una tokwa mapovu .... hapa tupo kwajili ya kuchangamsha jukwaaa hatupo kwajili ya kubishana ........ au umezoea kubishana mzee
 
Mkuu tusimulie tujifunze
Ilikua 2016 nilikua kwenye kipindi na simu ilikua silent nilivyo toka kwenye kipindi nikakuta missed call ina kama zero sita katika ILA sikuwaza chochote nikaamua kupiga ile namba ILI kujua alo nipigia ile simu inaita nasikia vyuma vinagongana yaani kelele kibao na ilivyo pokelewa nikasikia sauti ya kiume nikamuuliza nani akajibu me jini basi me nikajua ni mtu ananifaham ILA ananitania nikauliza tena nani? Akajibu jini nikaona anazingua tu nikakata na huku nikijisemea mjinga GANI huyu ananichora [emoji57]BASI nilivyo fika home nikapiga tena mwito wa ile simu nasikia vyuma tena na ikapokelewa BADO nikawa NASIKIA kelele za vyuma tu sisikia mtu akiongea hapo nikaogopa nikakata weeee varangati lilianza usiku alikua jini anatembea kama moshi mweusi hapo sielewi nilikua naota au nilikua macho ILA nilijipa UJASIRI nikaanza kukemea badae yule jini akaingia uvungun mwa kitanda mi nikaendelea kukemea KWA nguvu na hasira baadae akatokea dirishani nikasitua yaani chumban kama kuna kitu kilikua kinaendelea na nimesweat mwili mzima yaani siwezi hata kusogeza mikono BASI nikakata hapo kitandani kama dk 20 then nikaamuka na kuanza kuomba ni baadae nikalala siku ya pili tena akaja yaani moshi mweusi ule ule nilipambana nae akakimbia siku ya tatu tena alikuja nikapambana naye akakimbia akatokea dirishani na nikaendelea kufunga na kuomba na hakuja maisha yakaendelea ILA siku zile tatu zilikua chungu kwangu japo nyumban hakujua mtu
 
Dah hii lake nne sjui ni million nne maana imefanya mambo mengi kweli kitanda,godoro,mavaz,chakula Cha nyumban na pombe

[emoji23][emoji23][emoji23] sasa si pesa ya kijini mkuu hata hauelewi pesa za kijini zinakuaje wewe enjoy story mkuu.. acha kulalama [emoji23][emoji23] sema Baba fety.. umetuweza angusha epsod tufurahie maisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya ngoja nikupe hesabu za makadirio hapa
1. Bei ya kitanda kipya 4*5 =250k
2. Bei ya godoro " mpya bei 150k
3 . Bei ya chakula kwa alivyo orothesha 30k

Happ haja weka mavazi
Jumlisha na kiwango aliyo baking nacho 50k
kitanda 4×5 haiwezi fika bei hyo...
ukiwa na 300k unapata kitanda na godoro 5×6 kama huamini njoo na hela yako,
tumkosoe kwa vyengine lakini sio hili
 
kitanda 4×5 haiwezi fika bei hyo...
ukiwa na 300k unapata kitanda na godoro 5×6 kama huamini njoo na hela yako,
tumkosoe kwa vyengine lakini sio hili
Unitumia mbao gani mkuu ..... icje ikawa unatumia mwembe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa si pesa ya kijini mkuu hata hauelewi pesa za kijini zinakuaje wewe enjoy story mkuu.. acha kulalama [emoji23][emoji23] sema Baba fety.. umetuweza angusha epsod tufurahie maisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha chai tamu lakini Wacha Tuendelee kuinjoy
 
Back
Top Bottom