Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

SEHEMU YA 03
****************
SIKU ile ilikuwa siku nzuri sana kulionja penzi la Fatumah ni mwanamke mzuri sana kuwahi kumuona katika hii dunia ya watoto wa Adam na Hawa[emoji18]
wewe hata leo nizae na wewe pia ila sasa maisha yangu ndio bado najitafuta nilipomjibu hivyo akatabasamu halafu akaniambia usijali kuanzia sasa maisha yako yameshakuwa mazuri niamini mimi na kesho utapata dili la hela nyingi ambalo haujawahi kupata
hukmbia mimi nipo vp balaa gani tena akacheka sana akaniambia nimepata taarifa zako mtaani sasa hivi una bonge moja la demu mtoto shombe shombe, akaongezea haya buana dunia yako hii sema watoto wazuri wanataka hela nikamwambia ndio ni kweli nimepata tu demu kizali zali bro basi akaniambia ni jambo jema basi tukawa tunapiga stori zingine za kawaida,
Daah mwamba Kwa mpangilio wa story hii imekaa kama chai hv...ukweli wake bado 30% na uongo (kutunga) ni 70% anyway imalizie boss tuenjoy
 
Back
Top Bottom