Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

Hatutaki nukta wala vituo vikuu. Hii siyo imla ya darasa la nne bana. Sisi tunachojari ni herufi za kusomeka tu
Ila kweli Kuna watu Wana akili za ajabu sana.kusema ukweli tokea moyoni huyu anayeongea hivi ni masikini sidhani Kama akaunti yake inasoma above 50M Tanzania money.
Jamaa unajua kazi yake ni kuandika story kila muda akufurahishe wewe tu. Pia alete habari za geto lake afaidike Nini.
Uandikaji sio mahala pake hapa.
Pia wajua Ana kazi gani.pia wajua Kuna watu ni wavivu wa kuandika ,kusoma,kuongea,kutembea,kula,kulala,kotumba, na mengine mengi wewe unayoyaona ya kawaida kuyafanya.
Binadamu ifikie sehemu tuheshimu tofauti zetu.
Mfano mie mpira sihangaiki nao yaani naona watu wanajazana bar kucheki huku wakiweka status kujambishana na wenzao.
Ila akija like Shakira ama Christina aguero entrance iwe hata milioni nitaenda kumuona.
Yaani mpira wakiongea na siasa mie najitoa Ila story za namna ya kumeki mane na kula Bata nakuwa active Sana kimazungumzo.
Wewe ulivyo na muda wa kushinda social media Kama mie basi wajua kuwa wote ndo wako Kama sisi mkuu.
Sema umenogewa afu umeshindwa kumvumilia.fanya Mambo mengine utaipitia hata mwakani. Kwani ulisoma hii ni Nini utaongezeka ama utapungua usipoisoma?

Ila kweli Mungu aliumba Sana salute to sir God kwa kutufanya tusifanane vichwa
 
Hakikaaa MUNGU n mwemaa akutuumba wt tuwe na akilii mojaa,nazan angefanya hvyo mkuu dunia isingefika hapa ilipoo,
 
SEHEMU YA 05
******************************
Ilipoishia sehemu ya 04 ni pale nilipokuwa nimekutana na dada bar akanipeleka kwake kumbe yule dada ni fetty aligeuza alichukua surq ya mtu mwingine na ndio siku hiyo nilipojua fetty mchumbaangu kuwa ni jini na aliniambia kuwa yeye ni jini na amenipenda toka nipo mdogo na alikuwa ameolewa na babu yangu marehemu mzee msekwa.
#########
SASA INAENDELEA#
nilitetemeka sana mule ndani mkojo ulinitoka sio kitoto ikabidi nimuulize fatma ww ni jini kwann sasa muda wote ule haujaniweka wazi na ww na babu yangu mzee msekwa mmejuanaje?

Akacheka sanaa then akaniambia ni stori ndefu ipo siku nitakwambia kwa sasa sio muda sahihi kikubwa ni kuwa ole wako utoe hii siri na mimi nipo kwako kwa amani sina nia mbaya na ww maana nakupenda toka nilimuua babu yako miaka 25 iliyopita kipindi upo mdogo niliamua kukupa ww ulinzi hadi unakuwa niakikishe nakuwa na ww maana toka upo mdogo nilikupenda,

Ikabidi nimuulize sasa nyie majini mnaishi miaka mingapi na mbona hauzeeki?
Ndugu msomaji yule jini aliibadilisha akili yangu kwa muda mfupi nikajikuta tu napiga nae stori nishaanza kumzoea pale na uoga ulikuwa ushapungua,

Akanijibu kuwa wao majini ni immortal ni viumbe ambao wanaweza kuishi miaka mingi akananianbia yeye hadi mda huu yupo duniani ana miaka 300 sasa jibu lake likanishangaza saana nikamuuliza sawa sasa ww una mpango gani na mimi?
Akanijibu kuwa yeye anataka nimpatie watoto azae na mimi na anataka aishi na mimi,
Nikamuuliza sasa jini na binadamu wanawezaje kuishi ?

Akacheka sana akasema inawezekana baada ya kunijibu hivyo akaniambia leo ndio umejua ukweli wangu iwe siri na ole wako hii siri uitoe kwa ndugu yako yoyote yule.

Baadae fetty akainuka na kuniletea juice akanipa ninywee ilikuwa juice ya embe nikaanza kunywa wakati nakunywa ile juice nilijiona nguvu zinaniishia ghafla nikapoteza fahamu nilipoteza fahamu kwa mda mrefu nilikuja kushtuka asubuhi simu yangu inaiita sana nilipoamka ndugu msomaji nilijikuta nipo kwangu kabisa wakati nakumbuka usiku wa jana nilikuwa kwa fetty sikushangaa sana niliihisi pale nilipopoteza fahamu labda fetty aliniyayusha kichawi,
Nikapokea simu alikuwa ni fetty hallow mume wangu umeamkaje?

Aliniuliza hivyo nikamwambia sijambo nipo sawa akaniambia leo mchana nakuja hapo kwako nikamwambia sawa ila akaniambia niende dukani nikanunue udi halafu nilipuulize marashi chumbani kisha akaongeza unajua sasa mimi na ww ni wapenzi rasmi na ushanijua mimi ni jini sisi majini hatupendi uchafu inaidi uwe unasafisha chumba chako kiwe safi kila siku na uwe msafi nikamwambia sawa basi akaniambia kuna hela nakutumia muda huu mchana mimi nakuja nikamwambia sawa basi akakata simu,

Baada ya mda sms ya mpesa ilionyesha nimepokea shs laki 2 kutoka kwa fattuma
Nikasema kimoyoni daah japo majini ni viumbe hatari ila sasa hela napata nitamvumilia tu ndugu msomaji ni kuwa akili yangu ilishabadilishwa na fatma nikawa naona ni mtu wa kawaida tu kwangu basi kufupisha stori kweli mchana fatma alikuja nilifanya kama alivyoniambia asubuhi chumba kilikuwa kisafi alipokuja sasa alinisifia kuwa chumba kipo safi na nilikuwa nimevaa mavazi masafi na nilipuulizia manukato kama alivyosema,

Fatma siku hiyo alikuwa na furaha alipokuja alinirukia na kunibusu sana baadae tukiwa ndani akaniambia leo nataka nikwambie kitu kizuri nikamwambia sawa akasema kuanzia wiki inayoanza nitaamia kwako tutakuwa tunaishi kama mke na mume maneno yake kiukweli yaliniogopesha yaani aje akae na mimi ili nilimkubalia tu basi akaniambia mume wangu halafu nataka leo usiku nikupeleke nyumbani kwetu ukawaone ndugu zangu wanataka wakuone ikabidi nimuulize kwani kwenu wapi?

Akacheka sana akaniambia mimi nyumbani kwetu ni baharini
Jibu lake lilinishangaza mno nikqmuuliza baharini wapi posta hau?
Ghafla fatma......

Wakuu itaendelea wakuu sasa ndio nataka nipelekwe na fatma kwao baharini sijui ni bahari gani ambapo ndio ndugu zake wanaishi

Niwaombe radhi kwa ucheleweshaji wa muendelezo toka juzi nilipata dharula wife amejifungua na muda mwingi nakuwa nae kwa hiyo nakosq muda wa kuingia humu ila leo nitajitahidi nilete muendelezo usiku

MUENDELEZO Soma Siku niliyokutana na jini kwenye daladala
 
Bora uache tuh mkuu,kistory hiki cha leo kifupi sana...!alafu eti jioni utamalizia kumbe ni baada ya siku 3.watuchosha.
 
Story ya uongo balaa mshamba wewe haujui kutunga story
 
Hongera nkajua ushatekwa na fetty

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Hapa hadi alhamisi ijayooooo huyu jamaa hafai
 
Hongera mkuu kwa a new baby... Usiache kuleta vituz
 
Dah we jamaa stori zako zimaanza kuniteka kama fatty alivyo kuweza kipindi kile ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] joking
 
SEHEMU YA 03
****************
SIKU ile ilikuwa siku nzuri sana kulionja penzi la Fatumah ni mwanamke mzuri sana kuwahi kumuona katika hii dunia ya watoto wa Adam na Hawa[emoji18]

Basi tuliongea mengi sana na Fatmah siku hiyo alinionyeshea mahaba mazito hadi nikawa najisimemea sasa mke si ndio huyu nimepata kumbe sikujua kuwa nilikuwa nimepatikana[emoji29]

Tulionjoi sana nakumbuka usiku wa siku hiyo ya kwanza ya Fatmah kuja kwangu alinipika wali na kabichi na alinionyeshea upendo mmoja sijawahi pata kwanza alikuwa muda wote yupo kifuani kwangu amejilaza ananiambia maneno matamu mume wangu nashukuru mungu nimekupata wewe ni wangu nitakupa mahaba mazito maneno yake yalikuwa yakinipa faraja nikujua kuwa sasa nimepata mke

Nilihisi dunia ni yangu kufupisha stori siku hiyo ndio ikawa mwanzo wa mapenzi yangu mimi na Fatmah ambae ni jini bila kumjua basi usiku ukapita asubuhi nikiwa nimelala na Fatmah aliniamsha mume mimi leo naondoka naenda kwa dada nikamwambia mbona mapema hapo ilikuwa mida ya saa moja asubuhi nikamwambia kwa dadaako ungeenda hata mchana Fatmah akajifikiria basi akanijibu sawa basi ngoja mimi niamke nioge nikufanyie usafi leo

Basi akaamka pale kitanda ni mwanamke mrembo aisee yaani ukiambiwa kuwa ni jini unaweza bisha mazima basi mimi nikiwa kitandani pale nimejilaza Fetty akawa anaosha vyombo punde si punde akaanza kupika chai katika kitu ambacho kilikuwa kinanipa furaha ni jinsi Fatmah alivyokuwa akifanya kazi yaani ilishukua dk 30 kashapika chai kashaosha vyombo kashaoga kamaliza kila kitu akaja kuniambia amka uoge chai tayari nilishangaa sana nikamuuliza aisee umenishangaza sana yaani wewe mchapakazi mno dk 30 ushamaliza kila kitu akawa anacheka

Basi nikaenda bafuni kakuta maji nimeekewa na sabuni kila kitu kinaoga niliporudi sebuleni nilimkuta amekaa kwenye kitu akawa anatabasamu akaniambia mume umependeza ulivyoloana na maji alikuwa akiniangalia garden love zangu basi nikavaa nguo pale basi Fetty akaniambia mume nina zawadi nataka nikupe nikamwambia nipe tu akaniambia nina hii perfume ni kwaajili yako akanipa nilipoipuliza pale ilikuwa ni perfume yenye manukato makali mno yaani inanukia vizuri sana yeye Fetty akawa anafurahi tu nikamwambia ni nzuri mno ndio maana wewe unanukia vizuri kumbe unatumia perfume hii akasema ndio basi tukanywa chai pale huku tukipiga stori Fetty aliniambia swali moja ambalo lilinipa hofu aliniuliza......

Mimi nataka nizae na wewe watoto halafu nije niishi na wewe hivi karibuni upo tayari?

Swali lake lilinishtua mno ukiangalia na maisha yangu ya kuunga unga ningewezaje kuishi na Fatmah walihali sina kitu nikamjibu natamani niishi na wewe hata leo nizae na wewe pia ila sasa maisha yangu ndio bado najitafuta nilipomjibu hivyo akatabasamu halafu akaniambia usijali kuanzia sasa maisha yako yameshakuwa mazuri niamini mimi na kesho utapata dili la hela nyingi ambalo haujawahi kupata

Maneno yake yalinipa furahaa na kunipa wasi wasi pia nikamuuliza umejuaje?

Akacheka halafu akaniambia nimeota tu jana jambo ndoto sio lazima itimie muda mwingine inaweza kutokea kweli au isitokee jibu lake likanifanya nicheke nikamvuta karibu yangu na kumwambia nakupenda sana ni mwanamke wa kipekee sana huku nikamshika na kumpiga busu moja zito mdomoni mwake utamu wa busu langu ulimfanya Fatmah kulalama na kunishika kwa nguvu huku akiendelea na yeye kujivinjali utamu wa mate yangu mdomoni mwake kitendo kilichofanya wote kuangukia kitandani na sasa game kati ya yanga na simba ikaanza rasmi dimbani kwa mkapa stadium huku refa wa mchezo akiwa ni martin saanya ilipigwa mechi ya karibia masaa 2 bila mapumziko huku sauti ya chaga za kitanda zikisikika kwachuuu kwachuuu kachwuuuu baaada ya muda wote tukajikuta tupo hoii hooi tumechoka

Tukiwa tumetulia kitandani Fatmah akaniambia nakupenda sana nitahakikisha nakupa kila kitu kinachokiweza nikamwambia nitafurahi basi ikabidi twende kuoga na Fatmah asikwambie mtu mahaba tuliyokuwa nayo ni zaidi ya Julliette na Romi basi kufupisha stori baada ya kuoga tukavaa then Fattuma akaniambia sasa anataka kwenda kwa dadaake ila alinisisitiza nisije kumsaliti kwani ananipenda sana aliniambia kuja kwangu tena itachukua siku 3 atakuja tena basi nikamsindikiza hadi mtaa wao anapoishi na dadaake Sakina yule fundi msusi wa saloon maarufu kipindi hicho mtaa x.... Chanika tukaagana na mimi nikawa nimeenda kumcheki mwanangu Juma ni kama kakaangu kwani tumekuwa tukisaidiana kwenye shida na raha alikuwa hakai mbali na mimi bahati nzuri nimefika kwake nimekuta ndio nae amefika kutoka mizunguko yake

ooh kaka mambo vp adimu sana kaka sema una balaa ww juma aliniambia huku anacheka akinikalibisha ndani nikamwambia mimi nipo vp balaa gani tena akacheka sana akaniambia nimepata taarifa zako mtaani sasa hivi una bonge moja la demu mtoto shombe shombe, akaongezea haya buana dunia yako hii sema watoto wazuri wanataka hela nikamwambia ndio ni kweli nimepata tu demu kizali zali bro basi akaniambia ni jambo jema basi tukawa tunapiga stori zingine za kawaida,

Bro juma akaniambia vp madili yako ya ufundi yanaendeleaje?
Nikamwambia daah madili magumu sasa maana nilishagombana fundi mkuu akasema pole sana ila tuzidi kupambana basi tulipiga piga stori pale na bro basi ikabidi nimuage niende magetoni

Basi nikiwa nipo njiani naelekea ghetto nikaona sms imeingia kwenye simu yangu sms ilisomeka ni Fatmah hello mume wangu kwa mapenzi uliyonipa jana na leo nimekuachia zawadi ila ni surprise sikukwambia ipo kwako nenda angalia kitandani kwenye ule mto wa mwekundu utaiona nakupenda,

Sms hiyo ilinishtua sana nikajaribu kumpigia fatmah simu yake haipatikani nikawaza zawadi gani hiyo ikabidi nipige mguu wa haraka kurudi nyumbani huku maswali mengi kichwani nilipofika nyumbani kitu cha kwanza nilipofungua mlango ni kwenda kitandani kuutafuta huo mtu mwekundu kujua kuna nn sikuamini nilipotoa foronya ya mto ndani nilikutana na kitita cha elfu 10 kumi tupu ikabidi nizichukue niziesabu zilikuwa ni shs laki 4 nikashangaa sana ikabidi nijiulize hizi hela zote Fatmah amenipa kwaajili ya nini na kazitoa wapi nikiwa katika wimbi la mawazo nilipigwa na mshangao nilipoona mlio wa simu yangu ikimaanisha kuna sms imekuja ikabidi niusome huo ujumbe alikuwa ni fatmah ujumbe ulionishtua...

Itaendelea usikose sehemu ya 04 kujua nn kiliendelea baada ya kuziona laki 4 nilizopewa na fattmah na je nilipatwa na mshangao gan baada ya kusoma ujumbe ...
Mkuu nakupa hongera 1. Unajua kudeal na story script yako vyema 2. Unajua kudeal na attention ya wafuatiliaji wako nam nikiwemo #Hongera sanaa.
 
SEHEMU YA 04
******************************************
SMS ya fatmah ilinishtua sana na ilisomeka hivi "hello mpenzi wangu naona umeiona huyo zawadi hapo niliyokuwekea kwenye huo mto mwekundu hiyo hela itakusaidia katika shughuli zako nakupenda sana ila usije ukaitumia kwenye mambo yafuatayo ulevi hau starehe za kuhonga wanawake byee",

Sms ya fatma hii aliyonitumia ikanichanganya kwann ameniambia maneno hayo ikabidi nimpigie simu yake lakini wapi kila nikipiga haipatikani nikawa najiuliza labda simu yake itakuwa imezima chaji ni nini na maneno yake sikuyaweka sana kichwani ndugu msomaji nilikuwa sijawahi kushika kiasi kikubwa cha hela kama kile katika maisha yangu ya nyuma laki 4 niliiona kubwa mno nikawa nimechanganyikiwa akili akili hii ikiniambia fanya kitu hiki huku nyingine ikiniambia hela itumie tu kwa mambo mengine basi nikasema ngoja hii hela ninunue vitu vya ndani maana nilikuwa nalala kwenye kitanda cha inchi 4 kwa 5 na godoro dogo ikabidi siku hiyo hiyo niingie dukani nilifanikiwa kupata kitanda cha tano kwa sita nikapata na godoro kwa kipindi hicho bei ya vifaa hivi ilikuwa sio kubwa sana basi hela nyingine iliyobakia nikanunua vyakula ndani nakumbuka nilinunua unga kilo 10 na mchele na dagaa na maharage nikabakia na kiasi kidogo cha hela nikasema inabidi ninunue mavazi kweli nilienda kuchagua mavazi.

Nguo za bei nafuu suruali kavaa na mashati nikawa nimebakia kama na shs elfu 40 mfukoni baada ya kufanya manunuzi yote hayo siku hiyo niliporudi nyumbani baada ya kuleta vitu vyote nilivyonunua sasa chumba kilianza kupendeza ukiangalia kitanda kipya na godoro jipya chumba kilikaa safi sana basi ukafika usiku maana siku hiyo nizunguka sana kununua manunuzi usiku wa siku hiyo ulikuwa mkubwa mno kwangu. Sitousahau ilikuwa hivi ilikuwa mida ya saa mbili usiku niliamua kuondoka nyumbani kutokana nilikuwa na kiasi flani cha pesa nilichobakia nacho elfu 40 nikasema leo ngoja niingie mahali pa kujirusha nakumbuka chanika kipindi hicho kulikuwa na bar moja maarufu jina naliifadhi bar hiyo ilikuwa on top watu walikuwa wakijazana hapo kulikuwa na kila aina ya starehe mimi ni mpenzi wa bia na wanawake sasa nikasema niende nikapate bia kadhaa kweli nilivaa zile nguo nilizonunua safi nikaenda hadi hapo bar sio mbali sana na home nilifika nikakuta watu kibao wadada warembo wazuri utadhani hawaendi chooni watoto figa kali[emoji1] na mabrazimen kibao basi nikaagiza bia zangu nne pale mezani

Basi nikaanza kupiga tungi wakati nipo nishachapa bia mbili simu yangu ikaanza kuita nikawa nakata sitaki usumbufu kila nikikata inaita nikasema nanii huyu ananisumbua kucheki jina fatma anapiga kama mnavyoufahamu utamu wa bia aisee nikasema huyu demu ngoja nimzimie simu ananisumbua acha nichape gambee[emoji1] nilipiga bia nne pale zote nikawa hoii sasa nikiwa pale kuna mdada mmoja mweupe mzuriii kama malaika akawa ameingia amevaa kigauni kifupi inaonekana amekuja kunywa nae kiukweli akawa amenivutia alikuja akawa amekaa pembeni ya meza yangu akaagiza bia 2 pale kwa muhudumu sasa muhudumu alipomletea bia zake yule dada akampa mimi nikamuita muhudumu nikamwambia weweee muhudumuuuu mpe dada huyo bia 2 zingine helaaa nalipaa yule muhudumu akaenda akaleta bia hizo mbili na kumkabidhi yule dada yule dada akanigeukia akaniambia ahsante kakaangu nikamwambia dada mrembo samahani naweza kujumuika na ww hapo mezani akaniambia sawa njoo basi nikahama meza na kwenda kwa yule dada tukawa tunapiga stori yeye anapiga gambe yule dada alikuwa nu mzurii mno sijapata kuona katikati ya stori nikamwambia nimekuelewa aisee dada mzuri unaishi wapi akanijibu naishi mtaani x jibu liliponipa shaka mtaa alionitajia ndio mtaa ninaoishi mimi nikamwambi kumbe tunaishi wote mtaa mmoja? Akasema inapendeza kusikia hivyo then akaniuliza upo single? Nikamwambia ndio nipo nipo single akaniuliza tena upo single ww hauna mtu kwani?

Nikamwambia sina mtu hauniamini akachekaaa sana akasema sawa nyie wanaume bhana haya mimi nimekukubalia jibu lake lilinipa furaha sana sikujua kwann alicheka sana kutokana nilikuwa nimeelewa tungi basi kufupisha stori nilifanikiwa kuondoka na yule dada hadi kwake aliniambia twende kwangu nikawa nimekubali maana alisema anaishi mwenyewe kweli tukafika kwake kurudi nyuma ni kwamba huyo dada alikuwa na gari lake so ililaisisha usafiri kama dk 30 tukawa tumefika kwake ni bonge moja la mgheto cha ajabu mtaa tulioenda ni karibia na mtaa wangu lakini ilo gheto nilikuwa sijawahi kuliona ila kutokana na pombe sikutia mashaka kweli tukaiingia ndani ni nyumba kubwa anasemq anaishi mwenyewe akanikalibisha vizuri nikiwa nimekaa kwenye sofa akaniomba aende kuoga nikawa pale kwenye sofa baada ya dk30 akarudi pale alivaa khanga tu akaja akaa karibu yangu aisee mtoto alikuwa mzuri mno akawa ananitazama usoni ananiambia kwangu umepapenda mimi ndio basi tukiwa katika stori ananishika shika akaniambiia unajua nakupenda sana yaani shukuru upendo nilioanao kwako kuna kitu kibaya ningekufanyia sema tu basi nashindwa meneno yake yalinishtua nikamuuliza unaaminisha nini akacheka sana akaniambia ina maana haujui mimi ni nani hadi mda huu?

Swali lake likanitisha sana nikiwa natafakari ghafla taa zikazima kama dk 1 ghafla taa zikawa nikamuona amegeuka amekuwa fatma nikiwa nashangaa shangaa natetemeka ndugu msomaji mkojo ulinitoka mnoo fatma safari hii alikuja akiwa amekasirika sana machoni mwake alikuwa ana macho mekundu mno akasema leo ndio ulikuwa mwisho wa maisha yako sema una bahati sana nakupenda ila umenikasirisha mno nikamuuliza ina maana ww ni jini?

Akasema mimi ni jini mimi ni jini niliokupenda ww toka upo mdogo hadi leo nikajiuliza sana akaendelea kusema umeniudhi kunywa pombe kufanya mambo ambayo nilikukataza sasa nilipanga nikupe adhabu kali sana ila kwakuwa ni kosa lako la kwanza na ulikuwa haunijui mimi ni nani nakusamehee kwa leo ndugu msomaji mambo hayo yote yalinitokea ndani ya usiku mmoja sitakuja niiusahau maishani mwangu yote sasa fatma akanisogelea na kuniambia kuwa rasmi mimi na yeye tumeshafunga ndoa toka siku yakwanza tulipokutana kimwili na ni ngumu mimi kumkimbia na akaniambia tayari nina mimba yako na mda sio mrefu nitakupeleka kwetu nikamuuliza huku natetemeka kwanini unanifanyiaa. Hayo yote akacheka sana akaniambia ni stori ndefu ila haya yote amesababisha babu yako nikamuuliza babu yangu unamfahamu ? Umemjuaje akacheka sana akaniambia babu yako marehemu msekwa mimi ndio niliemuua baada ya kunikosea na kunisaliti sana jibu lake lilinipa hofu ghafla .......

WAKUU ITAENDELEA SEHEMU YA 05 SIMULIZI IMEFIKIA PATAMU SASA NIMESHAJUA NIPO KWENYE MAPENZI NA JINI NINI KINAFUATA SOON NAMALIZIA SEHEMU YA 05 NDIO KWANZA TUP0 MWANZO HII SIMULIZI YA UKWELI WA MAISHA YANGU NI NDEFU MNO MWISHO NI SEHEMU YA 28 NDIO NAMALIZA KWAHYO NAOMBENI MZIDI KUNIAZIMA MASIKIO
Mkuu ogopa sana aisee maana m jini langu lilipata Ukimwi siku ya kwanza tu kulinyandua
 
Back
Top Bottom