Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

niliwahi weka humu zaidi ya miaka nane, (nafupisha sana) kwangu ilikuwa tofauti. yeye ili nionane nae lzm nilale usingizi ndio nakuwa nae ilifika mahali hata stand ya basi nitasinzia kama anataka tuwe wote uzuri hakuna wa kusumbua wala kuniibia.

kuna mahali nilikuwa nafanya kazi nikamwambia mlinzi wa wapo khs hii hali akaniambia atanisaidia dawa.

siku hiyo ilikuwa ugomvi na vita kubwa na yeye wkt huo sasa hata nikiwa macho naweza kujua anakuja ila inabidi nikae mahali nitulie ndio aje.

alinilaumu sana kwa maamuzi nayotaka kufanya na kuwa nisifanye hivyo maana ananipenda sana.

na alinipeleka sehemu nyingi (kiuhalisia kuna mambo mengi yanaendelea ktk huu ulimwengu hatuyaoni) mahali napoishi nimewahi kupelekwa hadi chini ya ardhi kuonyeshwa yanayoendelea na baadhi ya maeneo waliyopo wana tekinilogia kubwa hata binadamu wa kawaida hajafikia.

sasa ile dawa alinipa yule mzee ilikuwa ya kuweka kwenye maji na kuoga, akasema ndani ya siku saba lazima atakuja kukuaga ila utapitia magumu usiogope.

siku ya pili alikuja na wadada wenzake kama wanne wakanichukua wakanipeleka juu sana angani akaniambia huu ndio mwisho wako nakuachia hapa, nikamsihi asifanye hivyo wenzake wakaniambia kwa nini lkn namkataa mwenzao nikasema naomba tu tuachane kwa amani. aliniangalia kwa hasira hakusema chochote nikaamka nipo poa na biashara iliishia hapo ingawa nilivyomwambia yule mzee alizema endelea kutumia dawa hadi siku saba.

kiukweli ni mwanamke mzuri kuwahi kutokea na kuna wakati huwa namwaza kwani kuna kilele nilikuwa nafikia sijawahi kukipata ila alifanya nikikutana na demu uume hausimami alafu nikiachana na huyo binti nae anakuja ananiambia kwani mimi sikutoshi hadi utafute wanawake wengine? nikaona hapa sasa nadhalilika.
Duuh,ulidumu nae kwa mda gani
 
Maraa paaap kumbe salome ni ndugu na mshana jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-J260T1 using JamiiForums mobile app
 
Alikupa utajiri?
kwanza nilikuwa sina hizo fikra, ilikuwa miaka ya 2000 ndio nimeanza anza tu kazi. yule mzee aliyenipa dawa aliniambia kuna mawili ufungamane nae atakusaidia au umuache.

mtaani kulikuwa na watoto wazuri sana wakati huo na sikutaka kuwakosa asilani huku mmoja wao nikiwa nishamfikisha ghetto na machine ikashindwa kabisa kuamka.

hii hali ilinipa hasira sana nikaona hiki kiumbe nikipige chini tu hakina maana.

wivu wake umepitiliza ila ni wa hatari kuliko hata mwanamke anaeweza kukushikia kisu.
 
Mwanzo wa mahusiano yenu yalikuwaje
 
Mwanzo wa mahusiano yenu yalikuwaje
ilichukua zaidi ya miezi minne kutambua kuwa hiki nachokutana nacho sio ndoto ila real.

mwanzo hata ilikuwa nikipiga game nae mbegu zinabaki kwenye underwear, yani yeye alinianza ila kwa mbinu ya ndoto tu baadae ndio akajiweka wazi.

siku moja nikamwambia sipendi hii tabia ya kuchafua chup* kila siku ndio akaniambia nakuwa muwazi kwako ila nataka nikupeleke nakoishi uone.

mzee ni bonge la hbr ndio maana nimeweka kiufupi tusiharibu mada ya watu
 
Mkuu,si ungesimulia yote full kabisa
 
Tumegee hvo hvo mdo mdo,

Kwahyo unavomla anakuwa na ladha km binadam fresh tuu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
ilichukua zaidi ya miezi minne kutambua kuwa hiki nachokutana nacho sio ndoto ila real.

mwanzo hata ilikuwa nikipiga game nae mbegu zinabaki kwenye underwear, yani yeye alinianza ila kwa mbinu ya ndoto tu baadae ndio akajiweka wazi.

siku moja nikamwambia sipendi hii tabia ya kuchafua chup* kila siku ndio akaniambia nakuwa muwazi kwako ila nataka nikupeleke nakoishi uone.

mzee ni bonge la hbr ndio maana nimeweka kiufupi tusiharibu mada ya watu
Unasema uliwahi kusimulia hapa. Tupe link tukasome please
 
ilichukua zaidi ya miezi minne kutambua kuwa hiki nachokutana nacho sio ndoto ila real.

mwanzo hata ilikuwa nikipiga game nae mbegu zinabaki kwenye underwear, yani yeye alinianza ila kwa mbinu ya ndoto tu baadae ndio akajiweka wazi.

siku moja nikamwambia sipendi hii tabia ya kuchafua chup* kila siku ndio akaniambia nakuwa muwazi kwako ila nataka nikupeleke nakoishi uone.

mzee ni bonge la hbr ndio maana nimeweka kiufupi tusiharibu mada ya watu
Nimepitia nyuzi zako zote lakin hiki kisa sikukiona mkuu,

Labda uje utusimulie upya
 
niliwahi weka humu zaidi ya miaka nane, (nafupisha sana) kwangu ilikuwa tofauti. yeye ili nionane nae lzm nilale usingizi ndio nakuwa nae ilifika mahali hata stand ya basi nitasinzia kama anataka tuwe wote uzuri hakuna wa kusumbua wala kuniibia.

kuna mahali nilikuwa nafanya kazi nikamwambia mlinzi wa wapo khs hii hali akaniambia atanisaidia dawa.

siku hiyo ilikuwa ugomvi na vita kubwa na yeye wkt huo sasa hata nikiwa macho naweza kujua anakuja ila inabidi nikae mahali nitulie ndio aje.

alinilaumu sana kwa maamuzi nayotaka kufanya na kuwa nisifanye hivyo maana ananipenda sana.

na alinipeleka sehemu nyingi (kiuhalisia kuna mambo mengi yanaendelea ktk huu ulimwengu hatuyaoni) mahali napoishi nimewahi kupelekwa hadi chini ya ardhi kuonyeshwa yanayoendelea na baadhi ya maeneo waliyopo wana tekinilogia kubwa hata binadamu wa kawaida hajafikia.

sasa ile dawa alinipa yule mzee ilikuwa ya kuweka kwenye maji na kuoga, akasema ndani ya siku saba lazima atakuja kukuaga ila utapitia magumu usiogope.

siku ya pili alikuja na wadada wenzake kama wanne wakanichukua wakanipeleka juu sana angani akaniambia huu ndio mwisho wako nakuachia hapa, nikamsihi asifanye hivyo wenzake wakaniambia kwa nini lkn namkataa mwenzao nikasema naomba tu tuachane kwa amani. aliniangalia kwa hasira hakusema chochote nikaamka nipo poa na biashara iliishia hapo ingawa nilivyomwambia yule mzee alizema endelea kutumia dawa hadi siku saba.

kiukweli ni mwanamke mzuri kuwahi kutokea na kuna wakati huwa namwaza kwani kuna kilele nilikuwa nafikia sijawahi kukipata ila alifanya nikikutana na demu uume hausimami alafu nikiachana na huyo binti nae anakuja ananiambia kwani mimi sikutoshi hadi utafute wanawake wengine? nikaona hapa sasa nadhalilika.

Lete namba yake ya simu[emoji13]
 
Back
Top Bottom