Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

SEHEMU YA 13
********************************
Wakati nipo kitandani pale kwenye kitanda ninacholala na mke wangu jini fetty safari hii nilikuwa nipo na mwanamke mwingine tena rafiki ake fetty, mwajabu tukifanya yetu ghafla nilisikia sauti ikiniambia haya ndio malipo uliyoona kunilipa kwa kutembea na rafiki angu?
Ilikuwa ni sauti kubwa iliyoongea kwa kujirudia rudia kiasi cha kunifanya niianze kuogopa nilikuwa nikitetemeka sana lakini cha ajabu mwajabu yeye alikuwa hasikii hiyo sauti kitu kilichonishangaza,
Ile sauti ikasema chochote kitachotokea kwako usije nilaumu kuanzia sasa ghafla sauti ile ikawa imekata kabisa,
Nilimwambia mwajabu aondoke arudi chumbani kwake mwajabu aliniuliza kwann kinqongea kwa sauti ya ukali naomba uondoke humu chumbani kitu kilichomshangaza mwajabu ikabidi aondoke mara moja,
Basi nilijikuta tu nalia macho mengi mule chumbani kwa kitendo cha kumsaliti fetty nilijua sasa huenda nitakuja kupewa adhabu kali ile sauti iliyokuwa ikiongea ilinithibitishia kuwa ile ilikuwa sauti ya fetty nililia machozi kuomba msamahaa kwa kufanya kosa lile nikajaribu kuipiga simu ya fetty laikini ilikuwa haipatikani tuma meseji hazijibiwi nikabaki sina la kufanya,
Usiku wa siku hiyo ulipita kama upepo ,
Asubuhi nimeamka sikuwa hata na mood ya kwenda kazini pale dukani kwangu kariakoo siku hiyo niliamka mwili wote unaniuma sana niliona kama mgongo wangu haufanyi kazi kitu kilichonishangaza sana nikatamani kuamka lakini nilishindwa nilipiga kelele kumuita mwajabu aje lakini kelele zangu zilikuwa kama kumpigia mbuzi gitaa nikawa najiuliza mgongo nimefanyaje hau nimepalalaizi? Nilishindwa kuamka kitandani ikabidi nijidondoshe chini ili nianze kutambaa kwenda kwenye chumba cha mwajabu mgongo ulikuwa unaniuma sana nilikuwa nikijikokota kota kota kidogo hadi nikafanikiwa kwenda chumbani kwa mwajabu ndugu msomaji nilikuwa nikitembea kama mlemavu kwa kutembelea mikono sasa nikakuta chumba cha mwajabu kipo wazi mlango umefunguliwa nikawa naita mwajabu mwajabu mwajabu lakini sikusikia sauti ikinijibu ikabidi nijikokote niingie ndani ile nimeshaukaribia mlango wa chumba mwajabu kupiga jicho ndani ya chumba cha mwajabu nilishtuka kuuona mwili wa mwajabu upo chini macho yalikuwa yametoka nje huku mdomoni nwake mapovu mengi yalikuwa yakimtoka nilishtushwa sana nilililia sana ikabidi nijikokote hadi mule ndani kweli mwajabu alikuwa kafariki nilipoufikia mwili wake vizuri niligundua pembezoni mwa shingo yake kulikuwa na alama za kukwaluzwa kwa kucha kali sana na nilipoangalia vzr niligundua mwajabu hakuwa na damu mwilini mwake nikagundua uenda nwajabu alikuwa ameuwawa kikatili nikajiuliza ni nini hiki?Wakati nipo nashangaa haya yote ghafla mlangoni kikatokea kiumbe kama mtu lakinu alikuwa anqfanana na sokwe alikuwa na kucha nyingi mno pia alikuwa bonge la sokwe na alikuwa amejaa damu mdomoni nikapata hofu nikqanza kutetemeka lile jitu likaanza kunifuata mule chumbani nilitamani kukimbia lakini uwezo huo sikuwa nao nikawa napiga kelele lile jitu liliponikaribia likacheka sana kwa sauti kubwa tena iliyokuwa ikikwaruza kwaruza nikajisemea leo nakufa lile jitu ghafla likaanza kunywea taratibu likabadilika sekunde kadhaa nilimuona fetty kumbe fetty alijibadilisha na kuwa lisokwe lile fetty akaanza kucheka na kuniambia haya ndio malipo yako ww kijana mpumbavu akaendelea kusema huyo mpumbavu hapo chini mimi ndio niliemuua jana usiku bado zamu yako ww nitakuua taratibu taratibu nilikwambia usije nisaliti lakini haukusikia fetty alikuwa akiongea kwa uchungu mno nikaanza kumuomba msamahaa kwa kulia laini fetty alikuwa anisikilizi.

Itaendelea wakuu leo usiku
SEHEMU YA 14
***********************
nilijitahidi sana kumuomba msamahaa fetty asinipe mateso lakini wapi nakumbuka alinifungia kwenye chumba kimoja mule ghorofani niliweza kukaa mule kwenye chumba kwa zaidi ya mwaka nilikuwa kama msukule sikupata huduma nzuri zaidi tu ya kupewa chakula na maji huduma za aja kubwq na ndogo nilikuwa nikizitoa mule mulw chumbani yaani nilikuwa najisaidia mule mule chumbani na kukojoa mule mule mwaka mzima sikuweza hata kuliona wingi la nje maisha yangu yalikuwa ni kama mfungwa niliefungwa kwenye gereza hatari zaidi la guentanamo[emoji29],
Hii ilikuwa ni adhabu aliyonipa fetty kwa kumsaliti sasa nikaona kwann majini na binadamu hayawezi kukaa pamoja nilijutia sana kukutana na jini fetty,
Fetty sasa alinionyesha roho ya kikatili mno,
Mateso yalizidi kuendelea kila siku fetty alipokuwa anakuja kunipa chakula alikuwa akija na kunirushia chakula kama mbwa na kuniambia maneno machafu ya karaa,
Ndugu msomaji nywele zangu zilikuwa kubwa mno kqma msukule nilikuwa na makucha marefu sasa nilikata tamaa ya maisha niliqmini sitaweza kuiona tena dunia niliamini nitafia kwenye lile gorofa la fetty na ndugu zangu wasingeona hata mfupa wangu,
Niliteswa sana zaidi ya mwaka nipo mule nfani sasa nakumbuka usiku mmoja nipo nimelala mule ndani kwenye chumba kilichojaa mauza uza ya kila aina niliota ndoto namuonq salome kaja yupo mbele yangu kashika bibilia ananiambiq nisikate tamaa ipo siku nitatoka katika haya mateso nilimuona salome akiwa kanisimqmia mbele yangu akiwa na bibilia na mavazi meupe nilipofumbua macho sikumuona nikqsema hii ni ndoto nikalala asubuhi ikafika ghafla asubuhi muda ya saa 4 kama hivi maana nilikuwa sijui hata majira yanaendaje zaidi ya kukisia tu hapo ndugu msomaji kipindi nipo kwenye kile chumba cha mateso bado mgongo wangu ulikuwa unaniuma kama kawaida na mbaya zaidi hata miguu sasa ilikuwa tayari ni kama imepalqlazi sikuwa na uwezo wa kutembea,
Sasa asubuhi ya siku hiyo mida ya saa 4 hivi niliona mlango ukifunguliwa ghafla nikatazama mlangoni kuona ni nani kaingia mule ndani, alikuwa ni fetty alikuwa kaja huku amekasirika sana akanifuata na kuniambia ww mpumbavu nilitaka kukuuwa kabisa lakini kwa sababu nakupenda na nilikupenda sana nashindwa kukuua ila hii adhabu niliyokupa ndani ya mwaka sasa imekutosha then akaendelea kusema huu ugonjwa wa kiuno na kupapalaizi kwako hautapona tena hii adhabu itakutosha sasa unaweza kuwa huru nitakuchukua na kukutupa sehemu lakini haya yote uliyataka ww na kama babu yako nilivyomuua ndio nilitaka nikuue na ww ila ww nimeshindwa mungu wako ni mkubwa mno,
Fetty alimaliza kwa kuja na kunishika kichwani ghafla nikajikuta nimepoteza fahamu sikujua kipi kiliendelea ila nilikuja kushtuka nikiwa sipo eneo lile nipo eneo lingine geni tena nimezungukwa na watu wengi nilipozidi kushangaa ghafla sauti za wale watu walionizunguka mmoja wao alisema kwa sauti naonaa ameamkaaa.

Itaendelea
 
Endelea kutupa nondo usipotee tena kwa muda mrefu ukiwa kimya. Story tamu sana
 
Back
Top Bottom