The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Hivi nyie mnaouliza maswali ina maana pale aliposema maiti kule muhimbili huwa zinatembea hamjapaona au mnapotezea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu mwandishi tuishie hapa[emoji23][emoji23] Tanzania ipi unayo isemea? Bora ukatoe msaada Ukraine tuSEHEMU YA 15
****************************************
ILIPOISHIA*#
Nilijikuta nazinduka pale nilipokuwa sipajui palikuwa pembezoni mwa bahari ya indi fukwe za coco beach watu walikuwa wamenizunguka wakinishangaa sana,
Sauti moja ilisikika ilikuwa ya mmama mmoja miongoni mwa wale watu ikisema sasa kaamka ndio niliposhikwa mkono na kunyanyuliwa pale chini,
Kulikuwa na watu wawili waliokuwa wameshika camera miongoni mwa wale watu waliokuwa wamenizunguka mmoja wa wale watu waliokuwa na camera pamoja na kipaza sauti yaani mic alikuwa amevaa tisheti iliyokuwa imeandikwa tbc1 ndio nilipogundua hawa ni waandishi wa habari,
Kijana kuwa na amani sisi ni raia wema tumekukuta hapa umelala toka asubuhi ikabidi tuite waandishi wa habari ,
Ilisikika sauti ya mzee mmoja miongoni mwa wale watu waliokuwa wamenizunguka ndugu msomaji kama unavyofahamu fukwe ya cooc beach uwa inakuwa na watu sana pale ndipo mahojiano na watu pale na wale watangazaji wa tbc1 yakaanza nilikuwa nahojiwa kuhusu nn kimetokea sikuweza kuongea sana zaidi ya kuwaambia mimi nipo salama ila naombeni mnipeleke hospitalini kwanza maana hali yangu sio nzuri niliwajibu hivyo wale waandishi wa habari ndipo nikaulizwa kwani unaitwa nani na umetokea wapi?
Nikaaa kimya kidogo ndipo kinasema nimetokea hapa hapa masaki sasa wakati nataka niendelee kuzungumza zaidi ghafla miongoni mwa wale watu waliokuwa wamekusanyika pale wakinitizama nilimuona fetty akiwa nae yupo pale tena ana kichwa kina mapembe halafu akaewa ananyooshea kidogo cha shiiiio yaani nisiendelee kuongea mengi ndipo nilipoanza kupiga kelele kama nimepandisha kichaa nikaanza kusema ondoka hapa ww ndio umenipa haya matatizo niache na maisha yangu nilikuwa nikipiga kelele huku nikimnyooshea mkono fetty ndipo watu walipozidi kunishangaa pamoja na wale waandishi wa habari, watu wakaanza kuongea ya kwao mmoja nilimsikia akisema huyu chizi kachanganyikiwa mpelekeni hospitali ndipo watu wanne waliokuwa wamejaazia walinikamata na kusimamisha gari safari safari ikaanza kupelekwa nisipopajua niliweza kuona msururu wa magari ukifuata gari letu sikujua nn kiliendelea maana nilijikuta tu fahamu zanfu zimetoweka nilikuja kuzinduka nipo hospitalin ilikuwa ni hospitali ya muhimbili niliweza kuijua hii baadae kujua nipo muhimbili nilikuwa nimefungwa kwenye kitanda mikono yangu yote nikawa nashangaa hapa wapi hapa, katika hiyo wodi kulikuwa na wagonjwa kibao niliwaona sasa nikiwa natazama mazingira hayo mara nikasikia mmoja wa wale wagonjwa waliokuwa wamelazwa jirani yangu akisema naona kaamka huyu jamaa ndugu msomaji sikuwa tena na kipi cha kufanya maana niliona kabisa akili yangu haipo sawa nilijiona ni mtu niliechanganyikiwa nilimkumbuka mamaaangu mzazi niliemuacha kule kwetu kijijini nikaanza kulia kwa uchungu haya ni maisha gani nilikuwa nishakata tamaa ya maisha yangu,
Sasa nilipokuwa nalia ghafla manesi wanne wakaja pale kwangu wakaanza kuongea nilimsikia mmoja akiongea kwa kunikashifu naona chizi umeamka uchizi wako umeanza tena nilimtizama sana yule nesi nilikasirika kuitwa chizi nikataka kuinuka kitandani nimvamie lakini mikono yangu ilikuwa imefungwa kamba kote nikaanza kupiga kelele ghafla nilianza kulia milio kama ya paka nyauuuu nyauuuu nilikuwa nikilia hivyo kiasi wale manesi walioogopa wakaita watu wa ulinzi na madaktari zaidi ambao walikuja kunituliza nilichomwa sindano nikajikuta napoteza fahamu,
Muonekano wangu wa nywele nyingi kichwani pamoja na kucha ndefu na meno yangu kuwa ya njano na harufu kali iliyokuwa inatoka mwilini mwangu ilionyesha kabisa kuwa nilikuwa ni chizi hau mtu niliekuwa nimechanganyikiwa.
**************************************
Taarifa zangu zilienea tanzania nzima kituo cha tbc1 kililipoti habari zangu habari za kuonekana kichaa katika fukwe za coco beach zilienea mji mzima na kwa bahati nzuri zilimfikia binti salome ambae alikuwa ni classmates wangu niliewahi kusoma nae ni mtu wa mungu kweli ndipo salome alipoamua kufunga safari na kuja hospitalini muhimbili kuniona akiwa na ndugu zake,
Salome alifika hospitalini akaanza kuliulizia mimi wale madakatari pamoja na walinzi wa muhimbili walimuuliza maswali mengi kama ananijua kivipi salome aliongea nao kuwa yeye ni dada angu alihojiwa karibia masaa 2 kuhusu mimi akawaambia anayoyjua japo hajui nn kimenipata zaidi nadhani aliamua kuwadanganya wala hakutaka habari zangu za ndani azitoe hadharani,
Salome aliweza kuhusiwa kuja kuniona na sasa nilikuwa nimewekwa chumba cha pekee angu kwa maangalizi zaidi, salome alifika nilipomuona salome nilililia sana salome alinifuata na kuniambia sasa wakati wa mungu umefika nyamaza usilie,
Wakuu itaendelea hiki kipande sitakuja kukisahau maishani[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora kule mwanzo angeanza naHivi nyie mnaouliza maswali ina maana pale aliposema maiti kule muhimbili huwa zinatembea hamjapaona au mnapotezea.
Amiiiiiiiin!Ameen mkuu [emoji120] tubarikiwe sote
Sawa mkuuHaiwezekan mtu huyo huyo ukapitia visa vyote hvyo nina mashaka na stor yako ni yakubumba
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Niko viti virefu nasubiri....leo nnahasira na shem jini fetty hakikisha unashusha episode tatu..
Kweli mkuu piaKwani tulikuomba uifupishe mkuu? Ungeendelea nayo kama ulivyopanga mwanzo kuisimulia ingeleta maana zaidi.
SEHEMU YA 17SEHEMU YA 16
*******************************
Salome alijitahidi kunipa matumaini pale kitanda akaniambia leo nimekuja kukuona nitafanya kila kitu niweze kukuchuku hapa hospitalini nikamwambia sawa,
Salome aliniacha mule chumbani akaenda kuzungumza na madaktari wa pale muhimbili kwamba anataka kunichukua ila madaktari walionekana kukataa salome asinichukue salome alijitahidi sana kuomba na ndipo madaktari walipomwambia aje baada ya siku mbili kwani bado nipo chini ya uangalizi wao ndipo salome alipokubali kishingo upande na kuondoka pale hospitalini akiniacha,
Atimae usiku wa siku hiyo niliweza kurudishwa kwenye wodi ya kawaida na kuchanganyika na wagonjwa wenzangu,
[emoji116]NILIYOYAONA MAMBO YA KUTISHA PALE MUHIMBILI HOSPITALINI USIKU WA SIKU HIYO#
Ndugu msomaji sipo hapa kwa kuisema vibaya hospital ya taifa ya muhimbili naweza kusema hivi kwa kuwa usiku wa siku hiyo niliweza kukutana na mambo ya kutisha sana pale muhimbili,
Ipo hivi usiku wa siku hiyo aisee niliweza kuona mambo ya ajabu sana yanayotendeka muhimbili pale,
1.nilipokuwa nimelala niliweza kuonyeshwa mambo ya ajabu yaliyopo katika vyumba vya mahiti yaani mochwari pale muhimbili nilishuhudia baadhi ya maiti zilizokuwa mule mochwari kumbe usiku uwa zinaamka na kuanza kuzunguka muhimbili nzima,
2.madaktari kuzini na wagonjwa wakati wa usiku,
Ndugu msomaji niliweza kuonyeshwa tabia chafu za baadhi ya madaktari wanaokuwa wakiwabaka wagonjwa wa kike usiku niliweza kuona haya mambo nikiwa pale kitandani najua ni ngumu kueleza mambo yote maana mambo mengine sitapenda kuyaweka adharani lakini jambo moja la mwisho niliweza kuona kuna daktari mmoja pale muhimbili ni wakala wa gamboshi wakala ambae yupo pale kwa kazi moja ya kuaribu mimba na baadhi ya mimba zinazoaribiwa wanazichukua na kuzipeleka gamboshi ambapo wale watoto uchukuliwa na kupikwa kwenye majungu makubwa na wanatengeneza mafuta so yale mafuta wachawi wa gamboshi wanayapaka na yale mafuta yana nguvu sana na kuwapa wachawi uwezo mkubwa wa kutenda mambo yao ya giza,
Ni mengi sana ngoja tuachane na mambo ya muhimbili niendelee na siku ya pili aliyokuja salome kunichukua hii siku salome alikuja pale wakamruhusu salome anichukue pale kweli tulifanikiwa kuondoka muhimbili salome alikuja na gari dogo private nilikuwa sijui naenda kuishi kwa salome na nitaishi vipi nilikuwa nimetulia tu ndani ya gari safari ilianza kuelekea kwa salome ambae alikuwa anakaa mombasa sasa tuliembea mwendo mrefu na atimae kama masaa kadhaa tuliweza kufika kwa salome nilishangaa sana salome alikuwa amepanga katika nyumba nzuri mno alipanganisha nyumba nzima basi tukaingia ndani pale saloome akanikaribisha na kuniambia niwe na amani nitaishi nae hadi nitakapokuwa sawa nikamshukuru kwa wema wake na atimae maisha ya mimi kuishi kwa salome yalianza tulikuwa hatulali chumba kimoja maana nyumba ilikuwa na vyumba vitatu alinipa chumba kingine nilale na yeye alikuwa akilala chumba kingine,
Niliweza kuumaliza mwezi mmoja wa kukaa kwa salome na kila jumapili salome alikuwa akinichukua na kwenda nae kanisani nikajikuta sasa kanisa nishaanza kulizoea niliweza kujiunga na kwaya ya kanisani maana salome nae alikuwa mwanakwaya pia ila pia ni kwamba salome nilimkuta hana mme na alikuwa ameajiliwa ni mwalimu hadi mda huu hadi ninapoandika simulizi hii mimi na salome tunaishi pamoja lakini kwa hivi sasa tupo mkoa wa morogoro tulishahamaga dar na bahati nzuri salome nimefanikiwa kuzaa nae mtoto mmoja juzi kati sasa ni mwezi[emoji39][emoji39] nampenda sana ni mwanamke alienitoa mbali sana.
[emoji116]*************VITA NA JINI FETTY BAADA YA MIMI KUOKOKA
ITAENDELEA BAADAE
[emoji116]BAADA YA SIMULIZI HII KUISHA HAPO KESHO NITAENDELEA NA KISA KINGINE HAPA HAPA NILIVYOWAHI KUPELEKWA GAMBOSHI NA NILIVYOWAHI KUSHIRIKI KUSABABISHA AJALI NA KUUWA WATU HAPA DUNIANI KITUO CHETU KILIKUWA MLIMA SEKENKE
STORI NDIO KWANZA IMEANZA NAOMBENI KWA SASA NIISHIE HAPA USIKU NITAJITAHIDI NIENDELEE VITA NA JINI FETTY BAADA YA MIMI KUOKOKA NA JINSI NILIVYOANZA MAHUSIANO NA SALOME [emoji122]
Owk mkuu shusha episodeSEHEMU YA 17
************************
Nikiwa pale naishi kwa salome niliweza kuishi vizuri sana niliweza kuokoka na kuanza kumjua mungu mungu alinibadilisha sana nilifurahia maisha yangu mapya ya kidini siku zilienda zilienda nakumbuka usiku mmoja tupo na salome tumetoka kanisani tulikuwa tunakula chakula salome aliniambia kuwa mungu kanibadilisha nimekuwa kijana mzuri sasa,
Salome alikuwa akiniangalia macho ya kimahaba pale sebureni tukajikuta rasmi tumeanza mahusiano niliweza kulala na salome kwa mara ya kwanza toka niachane nae enzi hizo za shule usiku huo tuliweza kuenjoy sana mahaba yetu salome ni mwanamke mtamu mno na anaejua nn mwanaume anataka aiseee usiku huo ulikuwa usiku mtamu kwangu licha ya kuwa na mahusiano na jini fetty ila hakuwahi kunipa mapenzi kama haya ya salome,
Mahusiano yetu na salome yalipamba moto huku pia nikiendelea kuzidi kumtumikia mungu sasa kanisani nikawa maarufu kutokana na upigaji wangu wa kinanda pale kanisani kwa wakati wote sikuwahi kukutana tena na jini fetty hadi nikahisi huenda atakuwa ameniacha huru,
Ulipita kama miezi sita nipo na salome mke wangu maisha mengine yanaendelea huku mimi pia nikiendelee na shughuli za ufundi wangu kama kawaida maana sasa nilikuwa nishapona nilikuwa naweza fanya kazi,
Nakumbuka siku moja nilikuwa natoka zangu kivule narudi mombasa nilikuwa nipo kwenye piki piki yangu ndugu msomaji mungu alinibariki nikaweza kununua na mimi ka usafiri kangu piki piki,
Tuendelee na stori sasa nipo njiani natoka kivule na rudi kwangu mombasa ghafla nikamuona mdada mmoja ananipungia mkono kuomba lifti na mda huo ulikuwa kama saa moja kasoro ka jiza bado hakajaanza kuingia nilisimama akaniambia kaka samahani naomba lifti nikamuuliza unaelekea wapi ni mdada mzuri mweupe flani hivi akaniambia anaenda mombasa,
Nikajikuta na mwambia woow na mimi naenda mombasa basi wacha twende basi hao safari ikaiva kuelekea mombasa sasa katika kupiga piga stori yule binti alinishangaza sana alikuwa ananijua mimi kuliko mimi ninavyomjua yeye alianza kwa kuniambia naona siku hizi umeokoka? swali ambalo lilinipa shaka nikajiuluza kajuaje nikamjibu umejuaje? Akasema unaonekana tu ni mtu wa mungu nikacheka tu huku nikizuga kwa cheko la kinafiki ila nilishtuka na swali lake,
Sqsa tulipofika mombasa pale akaniambia nimshushe yeye anaelekea mtaa x lakini wakati tunaagana akaniambia kitu kingine kilichonipa mashaka zaidi aliniambia msalimie mkeo salame hii kitu kilinifanya nimuite lakini akaendelea kuondoka nikataka ninfuate nimuulize ww ni nani na unaoekana unanijua mimi vizuri ila nikasita ikabidi na mimi nirudi tu nyumbani usiku wa siku hiyo ulikuwa wa mawazo kwangu ikabidi nimwambie mke wangu salome kile kilichonikuta leo mke wangu akanipa hope akasema usimuwazie sana pengine labda anakufahamu si unajua ww siku hizi unavyofahamika pale kanisani huenda nae ni mshirika mwenzetu pale kanisani nikasema sawa sasa wakati tunapiga stori na mke wangu salome,
Ghafla simu yangu ujumbe wa sms ukaingia ujumbe ambao ulinishtua sana ulikuwa ukisema ongera kwa kunipa lifti leo by mkeo wako wa muda wote fetty sms hii ndio iliyonitoa gizani nikahatamaki sana niliweza kumuelezea mke wangu na kumuonyesha hiyo sms nae akashangaa akasema mume wangu kama jini fetty kaqanza tena kukukufuatilia bqsi hii vita ni kubwa mno inatupaswa tuzidishe maombi kwa mungu wetu suala ambalo nililiona ni la msingi ila asubuhi niliweza kwenda kwa mchungaji wetu pale kanisani sasa nyumbani kwake kumuelezea mambo yamezidi kubwa mabaya mchungaji akanitia hope kuwa leo tutapiga swala nzito na mambo yatakaa sawa kweli usiku wa siku hiyo mchungaji alikuja pale kwetu tukafanya maombi mazito tulifanya maombi kama masaa matano mchungaji akaondoka ila alinishauri kesho tufunge mimi na mke wangu huenda mungu ataepusha ili balaa la jini fetty kunirudia,
Wakuu itaendelea
The EndHuyu jamaa kashaanza kujiona keki sasa. Yule mwamba anaemalizia story yupo wapi aje atupe hitimisho.
Maana tunajua mwisho wa hii story ni kua jamaa kaokoka, sasa hivi yeye na mke wake Salome wana kanisa ila wanapigana vita kubwa sana na majini.
Na mwishoni atatupa ushauri kamwr tusikubali kuleta urafiki au uhusiano wowote na majini ila tuzidishe ibada kwa Mungu.
Kukupa hii attention ya kufuatilia huu uzi wako usijione wewe ndio mwamba. Bora hata zile hadithi za The Bold zilikua zinahitaji a lot of researching na akileta uzi ni uzi ulioshiba sio hizi ngonjera zako bado unaleta pozi.
Hapa naona ulitaka kuona jamaa wanarukiana mapema.........Swali.. salome alipokuchukua hospitali kwanini mlikuwa mnalala vyumba tofauti wakati unasema alikuwa mpenzi wako hapo kabla? Na mlilala vyumba tofauti kwa muda gani?
Mwanzoni nilidhani hawalali pamoja kwakuwa bado hawajaoana lkn pia wana vita na jini hivyo wakianza kugegedana Sala hazitapokelewa, ghafla jamaa akaanza kuitandika mbususu bila ndoa na Sala zinafanya kazi, mungu ni wa ajabu sana.mlifunga ndoa na Salome lini maana mnaishi wote na umeokoka au tuache tu.
Mwanzoni nilidhani hawalali pamoja kwakuwa bado hawajaoana lkn pia wana vita na jini hivyo wakianza kugegedana Sala hazitapokelewa, ghafla jamaa akaanza kuitandika mbususu bila ndoa na Sala zinafanya kazi, mungu ni wa ajabu sana.