Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Katika Jambo gumu na linaloonyesha CCM na Serikali yake kubugi na limewafika shingoni ni hili la kesi ya kubambikiwa ya Mbowe.
Joto kali la ndani ya nchi na Jumuiya ya Kimataifa limewafanya CCM na Serikali kuufyata mkia na kujaribu kutafuta namna nyingine ya kubadili upepo.
Kwa namna moja au nyingine Serikali imeanza kuona umuhimu wa kukutana na vyama vya upinzani Jambo ambalo lina nafasi kubwa kutokea. Sasa CCM ni waongo, wanafiki, wafitini n.k ninawaomba Sana CHADEMA Kama hayo mazungumzo yatakuwepo kuweni makini Sana na Hawa CCM wasiwarubuni kwa namna yoyote mkabadili au kulegeza msimamo wenu kuhusu Katiba Mpya kwa maneno au ahadi tamu za watesi wenu CCM.
Hakuwa wakati muhimu kwenu CHADEMA kama huu ambapo Serikali na CCM wanalazimika kujishusha kidogo wakitafuta namna nyingine ya kuwanyoosha milele
Msikubali msikubali msikubali kulegeza msimamo wenu mtakipa CCM nafasi ya kupumua.
Mazungumzo ya kitaifa ni mihimu Sana ndio njia sahihi pekee tunaweza kwenda nayo na tukafikia mustakabali mwema