Siku njema huonekana asubuhi, CCM na Serikali yaonesha kutaka maridhiano

Mbowe si GAIDI
Katika Jambo gumu na linaloonyesha CCM na Serikali yake kubugi na limewafika shingoni ni hili la kesi ya kubambikiwa ya Mbowe.

Joto kali la ndani ya nchi na Jumuiya ya Kimataifa limewafanya CCM na Serikali kuufyata mkia na kujaribu kutafuta namna nyingine ya kubadili upepo.

Kwa namna moja au nyingine Serikali imeanza kuona umuhimu wa kukutana na vyama vya upinzani Jambo ambalo lina nafasi kubwa kutokea. Sasa CCM ni waongo, wanafiki, wafitini n.k ninawaomba Sana CHADEMA Kama hayo mazungumzo yatakuwepo kuweni makini Sana na Hawa CCM wasiwarubuni kwa namna yoyote mkabadili au kulegeza msimamo wenu kuhusu Katiba Mpya kwa maneno au ahadi tamu za watesi wenu CCM.

Hakuwa wakati muhimu kwenu CHADEMA kama huu ambapo Serikali na CCM wanalazimika kujishusha kidogo wakitafuta namna nyingine ya kuwanyoosha milele

Msikubali msikubali msikubali kulegeza msimamo wenu mtakipa CCM nafasi ya kupumua.

"Alisikika mlevi mmoja toka ighanuda akiwashauri Chama Kikuu making cha upinzani Tanzania"😁😁😁😁😁😁😁
 
Ighanoda👍, posa mnyampaa
 
Hata lilolotokea leo kesi ya Mbowe nadhani sio matatizo ya kimtandao hadi kesi isisikilizwe, bali serikali inakutana kujadili namna ya kumuachia Mbowe bila wao kuaibika.
Hii ngoma imevuka kimo chao
Na hii ngoma itaondoka na watu wengi sana kwenye system kwa kumshauri rais vibaya pasipo kufanya tathmin halisi ya madhara ambayo yangetokea.Binafsi nachokiona hapa ni serikali inatafuta mlango wa kutokea kiutu uzima bila kuaibika-hii kesi haina muda itafutwa kwa kigezo cha maridhiano
 
Mzanzibari akicheza itakula kwake.
 
Na hii ngoma itaondoka na watu wengi sana kwenye system kwa kumshauri rais vibaya pasipo kufanya tathmin halisi ya madhara ambayo yangetokea.Binafsi nachokiona hapa ni serikali inatafuta mlango wa kutokea kiutu uzima bila kuaibika-hii kesi haina muda itafutwa kwa kigezo cha maridhiano
Wa kwanza awe yule jamaa watukamuulize
 
Nakubaliana nawe. Yaani Tanganyika na ukubwa wake wote huu inatawaliwa !!!?
Ndio maana TUNATAKA KATIBA MPYA hii tuliyonayo Kuna siku itatukosti Kama nchi,haiwezekani ktk Karne hii tuwe na rais ambaye anaweza kufanya Jambo lolote na asiulizwe na yeyote hii ni hatari kwa usalama wa nchi yetu, hili ninaamin hata mama mwenyewe anatambua (meko angetunyoosha kweli)
 
Katika Jambo gumu na linaloonyesha CCM na Serikali yake kubugi na limewafika shingoni ni hili la kesi ya kubambikiwa ya Mbowe.

Joto kali la ndani ya nchi na Jumuiya ya Kimataifa limewafanya CCM na Serikali kuufyata mkia na kujaribu kutafuta namna nyingine ya kubadili upepo.

Kwa namna moja au nyingine Serikali imeanza kuona umuhimu wa kukutana na vyama vya upinzani Jambo ambalo lina nafasi kubwa kutokea. Sasa CCM ni waongo, wanafiki, wafitini n.k ninawaomba Sana CHADEMA Kama hayo mazungumzo yatakuwepo kuweni makini Sana na Hawa CCM wasiwarubuni kwa namna yoyote mkabadili au kulegeza msimamo wenu kuhusu Katiba Mpya kwa maneno au ahadi tamu za watesi wenu CCM.

Hakuwa wakati muhimu kwenu CHADEMA kama huu ambapo Serikali na CCM wanalazimika kujishusha kidogo wakitafuta namna nyingine ya kuwanyoosha milele

Msikubali msikubali msikubali kulegeza msimamo wenu mtakipa CCM nafasi ya kupumua.

"Alisikika mlevi mmoja toka ighanuda akiwashauri Chama Kikuu making cha upinzani Tanzania"😁😁😁😁😁😁😁
Ahh, Nilijua ni sauti ya mtu aliyeko NYIKANI"ITENGENEZENI NJIA "
 
Kesho tunakutana tena kisutu, nasubiri vitisho na gwaride la Sirro tena kwenye TV.

Ni maandamano ya amani mpaka watakubali kukaa mezani.

Toka enzi za mwendazake tunawaomba maridhiano hawataki, dawa yao ni kukutana barabarani.
Ha ha ha ha ha ha! Wapumbavu buana, mnampima mama tena sio?
 
Katika Jambo gumu na linaloonyesha CCM na Serikali yake kubugi na limewafika shingoni ni hili la kesi ya kubambikiwa ya Mbowe.

Joto kali la ndani ya nchi na Jumuiya ya Kimataifa limewafanya CCM na Serikali kuufyata mkia na kujaribu kutafuta namna nyingine ya kubadili upepo.

Kwa namna moja au nyingine Serikali imeanza kuona umuhimu wa kukutana na vyama vya upinzani Jambo ambalo lina nafasi kubwa kutokea. Sasa CCM ni waongo, wanafiki, wafitini n.k ninawaomba Sana CHADEMA Kama hayo mazungumzo yatakuwepo kuweni makini Sana na Hawa CCM wasiwarubuni kwa namna yoyote mkabadili au kulegeza msimamo wenu kuhusu Katiba Mpya kwa maneno au ahadi tamu za watesi wenu CCM.

Hakuwa wakati muhimu kwenu CHADEMA kama huu ambapo Serikali na CCM wanalazimika kujishusha kidogo wakitafuta namna nyingine ya kuwanyoosha milele

Msikubali msikubali msikubali kulegeza msimamo wenu mtakipa CCM nafasi ya kupumua.

"Alisikika mlevi mmoja toka ighanuda akiwashauri Chama Kikuu making cha upinzani Tanzania"😁😁😁😁😁😁😁
Hapo umeandika nini?
 
Hivi huyu balozi mulamula ni msemaji wa selikali? Katumwa na nani aseme kuwa "ssh alitaka kukutana na wapinzani ratiba zikaingiliana"
 
Katika Jambo gumu na linaloonyesha CCM na Serikali yake kubugi na limewafika shingoni ni hili la kesi ya kubambikiwa ya Mbowe.

Joto kali la ndani ya nchi na Jumuiya ya Kimataifa limewafanya CCM na Serikali kuufyata mkia na kujaribu kutafuta namna nyingine ya kubadili upepo.

Kwa namna moja au nyingine Serikali imeanza kuona umuhimu wa kukutana na vyama vya upinzani Jambo ambalo lina nafasi kubwa kutokea. Sasa CCM ni waongo, wanafiki, wafitini n.k ninawaomba Sana CHADEMA Kama hayo mazungumzo yatakuwepo kuweni makini Sana na Hawa CCM wasiwarubuni kwa namna yoyote mkabadili au kulegeza msimamo wenu kuhusu Katiba Mpya kwa maneno au ahadi tamu za watesi wenu CCM.

Hakuwa wakati muhimu kwenu CHADEMA kama huu ambapo Serikali na CCM wanalazimika kujishusha kidogo wakitafuta namna nyingine ya kuwanyoosha milele

Msikubali msikubali msikubali kulegeza msimamo wenu mtakipa CCM nafasi ya kupumua.

"Alisikika mlevi mmoja toka ighanuda akiwashauri Chama Kikuu making cha upinzani Tanzania"😁😁😁😁😁😁😁
Mkuu umetoka lini mwezini
 
Sukuma gang no 1 kuchangia kwenye uzi wangu eee, karibu sana
 
Kudai katiba mpya ndio kumpima mama? Nyie ndio mnaompotosha mama na kumuingiza king Kama mlivyofanya kwenye hii kesi ya Ugaidi uchwara 😂😂😂😂😂
Ha ha ha ha ha ha! Wapumbavu buana, mnampima mama tena sio?
 
Hapo umeandika nini?
Nimeandika ujinga kwa mazezeta wa lumu na ushauri mzuri kwa chama kikuu makini Cha upinzani Tanzania😁😁😁😁
 
Kudai katiba mpya ndio kumpima mama? Nyie ndio mnaompotosha mama na kumuingiza king Kama mlivyofanya kwenye hii kesi ya Ugaidi uchwara 😂😂😂😂😂
Mbona hamkuidai wakati wa Magufuli?
 
Back
Top Bottom