Shida yao wanataka kutatua matatizo ya watz wa sasa kwa fikra za miaka ya 70.Cha kushukuru ni kwamba hata ujanja wao siku hizi hauingii kwenye bongo making za watanzania
Kizazi cha sasa kina global thinking kina reasoning fikra huru, kizazi cha miaka ya 70 80 fikra zao zilifungwa na ziliekezwa kambi ya mashariki enzi za cold war.Thus si ajabu kukuta prof wa UD akipewa time TBC ni kuponda mabeberu, ukoloni, ukoloni mambo leo nk,ambayo havina link kabisa na fikra huru za kizazi cha sasa. .Mfano check fikra za watu kama kina prof lumumba.