Siku njema huonekana asubuhi, CCM na Serikali yaonesha kutaka maridhiano

Msalimie Jumanne Ibrahim mwenye kaduka karibu na mlimani hapo, mengine nimeyaona pia
 
CCM harijojo.. Nyambizi lao linaelea
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
 
Kitu cha msingi ni kuwapo na kutengeneza mambo yya kukubaliana kwa kuenzi umoja wa kitaifa.

You start with the things you agree on first.

You dont start with the things you dis agree.

Zaidi ya kukubaliana kanuni (za majadiliano), kuna kitu cha msingi (substantive issue) ambacho CHADEMA na CCM wanaweza kukubaliana ili kuenzi umoja wa kitaifa? Ningependa kufahamishwa hata kimoja tu.

Nivuavyo, CCM hawataki uwepo wa chama cha upinzani makini (serious) kiasi cha kudhamiria kupambania hatamu za dola - kwa dhati. Lengo kuu ni CCM iendelee kuwa madarakani na kuendesha nchi kwa mtindo wa β€œstate party dictatorship” ambapo maagizo ya Rais/Mwenyekiti wa CCM ndio yanakuwa sheria kuu ya nchi.

Tangu 2010, CHADEMA imejipambanua kuwa mwiba na changamoto kubwa sana kwa uwepo na ukuu wa CCM. 2015, Magufuli alidhani akijidai kutekeleza β€œajenda za CHADEMA” hasa ya ufisadi basi watahamia kwake na chama hicho kitakufa. Badala yake wakamwashia moto wa kudai demokrasia, haki za binadamu, katiba na tume huru! Akaghadhibika na kupania kuwaua kichama hata β€œliterally”!

Baada ya JPM kaja Mama SSH na hatua za β€œkuondoa dhulma” na kurejesha uhuru wa shughuli za kisiasa na habari. CHADEMA wakamshukuru lakini hapohapo wakamshushia nyundo ya β€œkatiba mpya”. Wamegusa β€œroho ya CCM”. Matokeo yameonekana.

CHADEMA wajiandae kwa mapambano makali katika mazungumzo na CCM kama wamedhamiria kuhakikisha msimamo wao haubadiliki. Wajue wakuu huko chama tawala wanatamani kuwaambia:”guys, why don’t you just name your price, play dead and drop out?”
 
Ninakubaliana na wewe kabisa
 
CHADEMA remain Serious and Focused. Regardless of whaaaat!
 
Wamebanwa sana na Mabeberu ambao majuzi walileta chanjo za bure na kuwaita wadau wa maendeleo ili watungezee zingine

Hili jambo ni kweli CCM imeonekana kituko mbele ya Jumuia za kimataifa.
 
Wamebanwa sana na Mabeberu ambao majuzi walileta chanjo za bure na kuwaita wadau wa maendeleo ili watungezee zingine

Hili jambo ni kweli CCM imeonekana kituko mbele ya Jumuia za kimataifa.
Wakipewa msaada wanawaita wahisani ila wakikosolewa wanageuka mabeberuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Kumbe ni ushauri wa mlevi. Nilitaka kutumia akili kujibu. Chadema inatakiwa tu wajue waache kututumuka na ajenda za kitaifa na kujaribu kuleta fujo kwa sababu hawana ridhaa ya wananchi kuongoza taifa. Magufuli na ccm yake ndio walipewa ridhaa kwa asilimia 84.5. Kama chadema hawaamini hilo ni shauri lao.
 
Huna hata aibu heti ccm na magu asilimia 84.5 kwa uchafuzi ule? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
watabana wataachia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…