Siku njema huonekana asubuhi, CCM na Serikali yaonesha kutaka maridhiano

Cha kushukuru ni kwamba hata ujanja wao siku hizi hauingii kwenye bongo making za watanzania
Shida yao wanataka kutatua matatizo ya watz wa sasa kwa fikra za miaka ya 70.
Kizazi cha sasa kina global thinking kina reasoning fikra huru, kizazi cha miaka ya 70 80 fikra zao zilifungwa na ziliekezwa kambi ya mashariki enzi za cold war.Thus si ajabu kukuta prof wa UD akipewa time TBC ni kuponda mabeberu, ukoloni, ukoloni mambo leo nk,ambayo havina link kabisa na fikra huru za kizazi cha sasa. .Mfano check fikra za watu kama kina prof lumumba.
 
Mama amekuwa Blackmailed. Kujinasua ni kazi sana. Achague moja liwalo na liwe.
Huyu afiki 2025 ataomba poo njiani,viatu ni vikubwa, maana sio kwa kuipiga mwingi,yupo kwenye autopilot ajui wapi ashike amebakia kama toys, anatoa maagizo watendaji wake wanampotezea tu check ishu ya tozo inahitaji miezi kufanya maamuzi? Ishu ya Mbowe wamemchomekea kisiasa.Amezungukwa na wapumbavu nae hana personal mentor wa kumshape hili pokea hili usipokee hili madhara yake ni haya hili achana nalo.Ye anataka awaridhishe wapumbavu,wao Wana ajenda zao, wanafanya mambo lengo lao ni 2025.
 
Maneno kuntu
 
Kwa kweli Ana WAKATI mgumu sana
 

Ccm na serikali kwa namna walivyoingia mkenge kesi ya mbowe bado wanaonyeshesha kutafuta njia ya kutokea, Kama ukimsikiliza msajili wa vyama vya siasa leo pamoja na zuio lake batili la kuzuia vyama vya siasa kufanya shughuli zao kwa mujibu wa katiba utaona hiyo dhamira ya kutafuta suluhu ya uongo uongo 😁😁😁😁😁 nimecheka Sana baada ya kumsikiliza jaji mtungi kwa kujilazimisha kusema asichokipenda
 
Hao wote binafsi siwaamini,kwani yaweza kuwa no sehemu ya zile mbinu zao ovu,ili kuendelea kunyamazisha sauti za haki na usawa zinaziwazonga,zaidi zile za katiba mpya na time huru ya uchaguzi.
 
Ha
Hao wote binafsi siwaamini,kwani yaweza kuwa no sehemu ya zile mbinu zao ovu,ili kuendelea kunyamazisha sauti za haki na usawa zinaziwazonga,zaidi zile za katiba mpya na time huru ya uchaguzi.
Hawajawahi kuwa na nia njema hata kidogo
 
Hao ccm wamemkubali Hamza kama kada wao?
 
Tumeambiwa wavunja katiba na sheria ndio Magaidi wa Tanzania... hii inamgusa hadi raisi
 
Ccm na serikali Wasipoyataka maridhiano Sasa kwa amani ipo siku watayatafuta huku damu zinatutiririka wote
 
Kuwa na amani, jopo la CDM ni kubwa, hata serikalini big shots ni CDM, wametula kutetea kitumbua chao, lkn wanapenyeza "rupia" kwa chadema.
Wamepenyeza rupia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…