Siku nyingi sijasikia wabunge na madiwani wakiunga mkono juhudi na kuhamia CCM

Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Ule ulikuwa ni uongozi wa kimafia, unalazimishwa, au uunge mkono au ukatae upotezwe au utengenezewe mizengwe ufilisike.

Wenye mioyo iliyokosa ujasiri na iliyojaa tamaa, wote walisalimu amri.
 
Mwenda zake alikuwa akiwahonga na ahadi ya Vyeo.kiukwel democracy kweke ilikuwa kitu adimu mnoo
 
Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Wabunge gani? Chadema mna mbunge mmoja tuu au huna habari?
 
Ukijifunza rushwa ya madaraka rejea kuu ni magufuli. Halafu kuna mikimba inamuona alikuwa shujaa.
 
Saizi angalau wote wanaonjeshana asali, angalau kila mtu anaweza kupata chochote kitu tofauti na wakati wa one man show.........
 
Back
Top Bottom