Siku nyingi sijasikia wabunge na madiwani wakiunga mkono juhudi na kuhamia CCM

Niguse Ninuke Katoka ACT Kwenda Ccm

Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Ule msamiati wa kuunga kuhudi za Serikali ya CCM, uliondoka na Mwendazake mwaka jana🥺

Kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa biashara hiyo haramu
 
2025, Gwajima ataondolewa Kawe, na mwanachadema atarudi mahala pake
 
Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Kinachoendelea sasa ni viongozi wa Chadema,ACT nk kuuunga mkono juhudi,yaani akina Mbowe,Tundu,Zitto nk wameunga juhudi
 
Ule msamiati wa kuunga kuhudi za Serikali ya CCM, uliondoka na Mwendazake mwaka jana🥺

Kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa mwanzilishi wa biashara hiyo haramu
Mtu haramu yule
 
Kinachoendelea sasa ni viongozi wa Chadema,ACT nk kuuunga mkono juhudi,yaani akina Mbowe,Tundu,Zitto nk wameunga juhudi
Maridhiano ya kisiasa sio kuunga juhudi. Labda zito ndio usaliti hauachi.
 
Back
Top Bottom