tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
We ni bogus kweli rafiki yangu,, Chadema ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Sasa hapa unaulizia wabunge gani..!??
Pili, staili ya kuunga mkono imebadilika sasa hv kuanzia Mwenyekiti Mbowe mpaka kina Lissu wanatoa kauli za kumuunga mkono Mamá Samia
Hvyo Kama Magufuli aliwachimbia kaburi wakagoma kuingia basi kwa style ya Mamá Samia wapinzani wanajitumbukiza wenyewe kaburini