Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Alijipitisha? Maelezo kidogo.Mama ataki huo ujinga. Japo msigwa alijipitisha.
Ungekaa kimya wala ujinga wako usingejulikana.We ni bogus kweli rafiki yangu,, Chadema ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Sasa hapa unaulizia wabunge gani..!??
Pili, staili ya kuunga mkono imebadilika sasa hv kuanzia Mwenyekiti Mbowe mpaka kina Lissu wanatoa kauli za kumuunga mkono Mamá Samia
Hvyo Kama Magufuli aliwachimbia kaburi wakagoma kuingia basi kwa style ya Mamá Samia wapinzani wanajitumbukiza wenyewe kaburini
Tutajie madiwani wa upinzani ambao walishinda bila figisu labda maeneo yanayojitambua tu ambayo yalisema liwe na lisiwe. Namfahamu Diwani mmoja tu ambaye alishinda kwa ticket ya upinzani kisa walilazimisha kumrudisha diwani wa CCM aliyedumu miaka 15 bila hata maendeleo yoyote na juhudi zilitegemea wananchi wenyewe hasa watu wanaokaa nje ya mkoa huo.Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Wabunge na madiwani wa upinzani wapo kadhaa. Hamna hata mmoja wa kuunga juhudi au ndio mnunuzi hayupo tena?Tutajie madiwani wa upinzani ambao walishinda bila figisu labda maeneo yanayojitambua tu ambayo yalisema liwe na lisiwe. Namfahamu Diwani mmoja tu ambaye alishinda kwa ticket ya upinzani kisa walilazimisha kumrudisha diwani wa CCM aliyedumu miaka 15 bila hata maendeleo yoyote na juhudi zilitegemea wananchi wenyewe hasa watu wanaokaa nje ya mkoa huo.
Kwingine wapi kuna mtu aliweza kushinda????
Mtoa mada tujulishe ni watu gani waliingia bungeni kutoka upinzani kihalali kama siyo wale wa Visiwani tu.
Utamuunga vipi juhudi marehemu? Any way....nenda Lilongwe ukamuulize Chakubanga ( polepole)Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
Lemutus alikuwa rafiki na mshauli wa Bashite,halafu Bashite alikuwa rafiki na Mshauli wa Magufuli, Sasa angalia hiyo chain halafu utafakari end product ilikuwa nini. Na kaa ukijua mpango wa kumfanya awe rais wa milele Kama Uganda ulikuwa umeiva kabsa kabsa kabsa kabsa.Magufuli alinidisappoint sana alivyobadilika kutoka waziri aliyekuwa anaeisitiza kufuata sheria mpaka kuwa tapeli, mvunja sheria na katiba.
Ajabu sana! Watu wa mfumo wenyewe walishamchoka na ndio maana alipopelekwa pale Kijitonyama walimpiga "roba" hadi akazima kimoja!Ukijifunza rushwa ya madaraka rejea kuu ni magufuli. Halafu kuna mikimba inamuona alikuwa shujaa.
Nilinusa hii tetesi kuhusu vikao vya usiku wa manane na ukwapuaji wa pesa B.O.TAjabu sana! Watu wa mfumo wenyewe walishamchoka na ndio maana alipopelekwa pale Kijitonyama walimpiga "roba" hadi akazima kimoja!
Unafanya mchezo na sisitimu?