Hii michezo ina ngazi!
Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa).
Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha!
Yanga iko federation cup ( ligi ya shirikisho) vibonde wote wako huku! Ushindi wa huku ulitakiwa motisha ndogo ili wapambane kupanda juu zaidi! 2 mil ingewatosha yanga kwa kila bao!.
Champion league na Federation cup ni kama hapa bongo unavyoona NBC premier league na Azam federation cup
Hazifanani uzito!
Motisha tuwape kwa kuangalia vigezo!
Hilo nalo mkalitazame
Aliyefeli form six huwezi mlinganisha uzani sawa na aliye-resit form four!
Motisha ziwe za kujenga kuliko kubomoa