Siku tano ambazo HAMAS wanaomba waachiwe zitawasaidia kivipi?

Wewe pumguani kweli eti nikae mbali na na wewe shoga wewe std7 umeishaenda kubatizwa?
Sinyonyi wanaume ulimi kama mtume na mimi si maamuma kama Mohamed.
 
lahaula lakwata astaghafululai doh kumbe mtume mudi alikuwa na haya mambo alaaa kumbe ndiyo maana Zenji na pwani kuna mambo meusiiiii
 
Bila kuweka ushabiki, hakuna aliyeomba poo! Bado kila upande una msimamo wake!

Israel hawawezi kusitisha mashambulizi mpaka mateka wote waachiwe!
Hamas inasema hatutawaachia mateka mpaka Israel isitishe mashambulizi ( na tena siyo mateka wote)!

Lakini sharti jingine Hamas inasema ni mpaka wafungwa wote wa kipalestina waliofungwa katika magereza za Israel waachiwe.
Israel inasema hawataachiwa!

Ni mazungumzo magumu!

"Ndiyo maana kuna mediators"
 
Kwa hiyo siku tano ndio zitasaidia HAMAS kwenye nini haswa....
 
Back
Top Bottom