Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
Chadema imeshauzwa. Kuna kila dalili kuwa mnunuzi wa Chadema anataka kuibadilisha iwe kikundi cha sanaa...
Serikali imepata kodi kiasi gani katika mauziano hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema imeshauzwa. Kuna kila dalili kuwa mnunuzi wa Chadema anataka kuibadilisha iwe kikundi cha sanaa...
Kiufupi CCM wameshaona dalili zote za kushindwa, sasa wanafanya kila liwezekanalo ili kuhujumu uchaguzi na wajichukulie ushindi kwa ubabe, ama uchaguzi ushindikane na kufanya dola iliyo chini ya CCM na hivyo wataendelea kutawala.
Chadema imeshauzwa. Kuna kila dalili kuwa mnunuzi wa Chadema anataka kuibadilisha iwe kikundi cha sanaa...
Tatizo lenu UKAWA mnafikiria mambo ni rahisi tu kwamba mpite mnadanganya watu kuwa mnataka kuwaletea mabadiliko wakati hamuwezi halafu serikali iwaache tu mfanye mnavyotaka. Haiwezekani.
Tatizo lenu UKAWA mnafikiria mambo ni rahisi tu kwamba mpite mnadanganya watu kuwa mnataka kuwaletea mabadiliko wakati hamuwezi halafu serikali iwaache tu mfanye mnavyotaka. Haiwezekani.
Anachochea kwa kuongea ukweli?Mtatiro acha kuchochea vurugu Tanzania tambua kuwa amani ikivurugika utakuwa sehemu ya washitakiwa ICC The Hague.
Ndugu ZeMarcopolo ujumbe wako unahusiana na alichoandika mkuu mtatiro Julius ??Chadema imeshauzwa. Kuna kila dalili kuwa mnunuzi wa Chadema anataka kuibadilisha iwe kikundi cha sanaa...
Mtatiro acha kuchochea vurugu Tanzania tambua kuwa amani ikivurugika utakuwa sehemu ya washitakiwa ICC The Hague.
Wewe utabaki kua mshabiki mpaka lini,fanya na wewe tukuone.Hizi elimu za kudesa tabu tupuDawa yako Humphrey Polepole, unamuogopa kama nyuki
Tatizo lenu UKAWA mnafikiria mambo ni rahisi tu kwamba mpite mnadanganya watu kuwa mnataka kuwaletea mabadiliko wakati hamuwezi halafu serikali iwaache tu mfanye mnavyotaka. Haiwezekani.
I am sorry kukuambia hili nadhani unastahili, kwamba;Tatizo lenu UKAWA mnafikiria mambo ni rahisi tu kwamba mpite mnadanganya watu kuwa mnataka kuwaletea mabadiliko wakati hamuwezi halafu serikali iwaache tu mfanye mnavyotaka. Haiwezekani.
serikali ipi hii ya raisi wake anahongwa suti pair tano kwa kubadilishana na loliondo hii ya kumaliza asilimia sitini tembo kwi kwi itaipata safari hii na nguvu ya umma