Elections 2015 Siku tano za kampeni: Chokochoko za CCM, serikali yake na vyombo vya ulinzi

Ndio maana ICC watakuwepo uchaguzi huu kukusanya ushahidi kabisa sio wategemee serikali iwape ushahidi ili kuepuka yaliyotokea Kenya kuficha ushahidi.
 
Yani walivo fetu waNadai eti uwanja wa jangwani wameukodi kwa siku 3 kwa ajili ya wasanii kufanya show. Tangu juzi wazindue matusi na fiesta ya ccm badala kuzindua kampeni za ccm, wanaendeleza visa, sasa hata channel wamekodi zote ili tu ukawa wasiwe live kwenyee media. Kweli mfa maji haishi kutapatapa.
alafu na hawa wasanii wabongo kama ndo wanatumika ovyo kiasi hichi imekula kwao!!! Msanii shupavu huwa kama mwanajeshi haoneshi kushabikia chama chochote lakini siku ya kupika kura anajaza msimamo wake. Msanii kushawishi watu kushabikia chama fulani ni kugawanya wafuasi wake. Na huo ndio mwanzo wa heshima kupotea hata kama si kufulia.
 

mod;

angalia kichwa cha habari hapo juu,

badilisha ; jf inatumika vibaya
 
Mimi Siogopi Kumwaga Dam Yangu Kwa Ajili Ya Kulitetea Taifa Langu Kuna Watu Wanamwaga Dam Kwa Ajili Ya Mapenzi, Kuna Watu Wanamwaga Dam Kwa Ajili Ya Maisha Na Sababu Mbalimbali Mimi Dam Yangu Itamwagika Kwa Kulitetea Taifa Langu
 
Mis-use of power.


Matumizi mabaya.


Hawajui namna ya kutumia nguvu walizopewa.


Hawajui kuwa wananguvu mkononi.


Wanatumia tu bila kujua.

Very sorry my dear bottle
(Beer translation Pombe)
 
Chadema imeshauzwa. Kuna kila dalili kuwa mnunuzi wa Chadema anataka kuibadilisha iwe kikundi cha sanaa...

Wewe wacha kukurupuka kama ngiri afukuzwaye na simba,ongelea logic siyo unatuletea mipasho ya tot
 

Jitahidi kupofusha kiwango chako cha elimu.tatizo lako uanaharakati unakusumbua yangu ukiwa udsm
 
Huku ikwiriri tulishajipanga kuja kwenye ufunguzi wa mkutano kwa gharama zetu na vihiace kama 8 na mabango yetu. Hatuvunjiki nguvu

Wasije wakasema mmelipwa na mmeletwa kwa magari manake sasa hivi gambaz silaha yao kuu ni propaganda,uwongo,uzushi,utapeli,ulaghai,ubabe,matusi,rushwa nk.kuelekea oct 25
 
Mimi natoa onyo kali sana na fupi.

Historia popote duniani anayeshinda mapambano yoyote yale huwa ni mnyonge, ungawa huwa yanacheleweshwa sana. Ona Utumwa, uona ukoloni, una South Africana hata Wapelestina wanakalibia. Na CCM pamoja na jeshi kama wananchi wakichoka na wakaamua, wasidhani watashinda hata siku moja.
 
sio wewe tu wengi tumekwisha jiandaa si tunaona!!!
 
serikali kuzuia viwanja vya umma kutumiwa na wapinzani ni hasara kwa ccm.Safari hii kila mbinu itakayotumiwa na ccm dhidi ya UKAWA itakula kwao.Ilipofikia ccm ni aibu tupu.Wakati wote woga hauleti ushindi.
 
ni aibu kwa ccm na serikali kutumia nguvu kubwa dhidi ya UKAWA na bado wameelemewa..ha ha ha ha aisee haijawahi tokea. inaonesha watu hawalali wanafikiria njia ya kuzuia maafuriko
 

Amen! Katika jina la Yesu wameshashindwa ndio maana wanahaha...
 
Angalizo ccm inapaswa kujuwa watanzania wamechoka kupita kiasi ni sawa na moto uliyo fukunikwa ambao umeanza kutowa moshi moto huu upo kila mahala kwenye nyanja zote hakuna anaye ipenda ccm ata wanachama wenyewe wa ccm!
Ccm wakubali tu maridhiano kuwa kwa sasa hawakubaliki kuliko kuja kutambuwa muda ukiwa umekwisha hawatapona wajuwe tuu kuwa hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho !!
Ccm watambuwe kuwa watanzania tuna rohoooo mbaya sana wasizichokonowe watakosa walicho nacho!!
 

Huu uzi nimeu-screen shot, ikifika tar 1 September, utaisaidia polisi, watu waropokaji kama nyie ndo tunawatafuta!!! Usidhani nyuma ya keyboard uko safe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…