Siku tisa sasa miili ya wahanga wa ajali Feri ya Likoni haijaopolewa

Miaka zaidi ya kumi iliyopita. Mara nyingi mnaambiwa Kenya iko mbele ya Tz kwa zaidi ya miaka kumi mnabisha, umeamini Sasa?[emoji1787][emoji1787]
Hahaa Eti miaka kumi iliyopita! Ila nadhani ingekuwa ni chupa ya konyagi umetumbukia hapo ferry, the might kdf sf wangekuwa wameshaiopoa.
 
Hahaa Eti miaka kumi iliyopita! Ila nadhani ingekuwa ni chupa ya konyagi umetumbukia hapo ferry, the might kdf sf wangekuwa wameshaiopoa.
Dah unaidharau saana KDF strongest army in East Africa ambayo ilipoteza battalion nzima kwenye shambulizi la nusu saa
 
KDF mdomo mwingi kazi ni zero. Tena inashangaza urafiki wao na USA/Canada/israel/China ni wanini kama hawawezi kuwasaidia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…