KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
How many meters deep are we talking about here?
How rescue operation should go
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How rescue operation should go
Miaka zaidi ya kumi iliyopita. Mara nyingi mnaambiwa Kenya iko mbele ya Tz kwa zaidi ya miaka kumi mnabisha, umeamini Sasa?🤣🤣Kwani kenya tank la petrol haijawahi lipuka?!???
Miaka zaidi ya kumi iliyopita. Mara nyingi mnaambiwa Kenya iko mbele ya Tz kwa zaidi ya miaka kumi mnabisha, umeamini Sasa?🤣🤣
Hahaa Eti miaka kumi iliyopita! Ila nadhani ingekuwa ni chupa ya konyagi umetumbukia hapo ferry, the might kdf sf wangekuwa wameshaiopoa.Miaka zaidi ya kumi iliyopita. Mara nyingi mnaambiwa Kenya iko mbele ya Tz kwa zaidi ya miaka kumi mnabisha, umeamini Sasa?[emoji1787][emoji1787]
Dah unaidharau saana KDF strongest army in East Africa ambayo ilipoteza battalion nzima kwenye shambulizi la nusu saaHahaa Eti miaka kumi iliyopita! Ila nadhani ingekuwa ni chupa ya konyagi umetumbukia hapo ferry, the might kdf sf wangekuwa wameshaiopoa.
sasa tuwahitaje? Waathirika? Waliopoteza maisha?
wale "si wahanga"
sijui waswahili mnakosea wapi?
mhanga maana yake mtu anajitolea kifo kwaajili ya manufaa fulani ila si kama mnavyoju
asante kw utafiti wako, kumbuka lile janga hakulisababisha yey, hivyo si mhanga.