Siku tisa sasa miili ya wahanga wa ajali Feri ya Likoni haijaopolewa

Siku tisa sasa miili ya wahanga wa ajali Feri ya Likoni haijaopolewa

Miaka zaidi ya kumi iliyopita. Mara nyingi mnaambiwa Kenya iko mbele ya Tz kwa zaidi ya miaka kumi mnabisha, umeamini Sasa?[emoji1787][emoji1787]
Hahaa Eti miaka kumi iliyopita! Ila nadhani ingekuwa ni chupa ya konyagi umetumbukia hapo ferry, the might kdf sf wangekuwa wameshaiopoa.
 
Hahaa Eti miaka kumi iliyopita! Ila nadhani ingekuwa ni chupa ya konyagi umetumbukia hapo ferry, the might kdf sf wangekuwa wameshaiopoa.
Dah unaidharau saana KDF strongest army in East Africa ambayo ilipoteza battalion nzima kwenye shambulizi la nusu saa
 
KDF mdomo mwingi kazi ni zero. Tena inashangaza urafiki wao na USA/Canada/israel/China ni wanini kama hawawezi kuwasaidia..
 
sasa tuwahitaje? Waathirika? Waliopoteza maisha?
wale "si wahanga"
sijui waswahili mnakosea wapi?
mhanga maana yake mtu anajitolea kifo kwaajili ya manufaa fulani ila si kama mnavyoju

1570609645801.png

1570610158179.png

1570609774426.png

cc: Tim Choice FOCAL game over jaji mfawidhi Geza Ulole
 
Back
Top Bottom