Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
Usilazimishe watu waamini unacho kiamini wewe. Hatupo Afghanistan hapaTubu dhambi zako kwa Allah, ambaye hajazaa wala hajazaliwa na wala hana mfanano wa kitu chochote/ yoyote katika mbingu na Ardhi ...
Yesu hana uwezo wa kusamehe dhambi.. Yesu ni Mja wa Allah kama ilivyo wewe .. huo unafanya ni ushirik
Sasa unajuaje hizo hisia zako ni sahihi?Mimi Sili nishafanya hivyo mara kibao
Kwahiyo kumbe uliota hii issue yako ni ndoto?Sasa unashangaa nini kuhusu macho ya Roho ilhali Kila ikifika usiku unaota ndoto Ukiwa umefumba macho,
Hujiulizi ni macho Gani hutumika ndotoni ilhali macho ya MWILI umefumba USINGIZIni?
Fuatilia mjadala ulikuwa nini before kabla ya kujumlisha.Kwahiyo kumbe uliota hii issue yako ni ndoto?
Unasema sababu hunijui nikiamua jambo langu halishindikaniSasa unajuaje hizo hisia zako ni sahihi?
Wewe ni mlokole au mchawi?Kuwa na adabu wewe sio una harisha harisha tu kama mgonjwa wa kipindupindu uliye kula mavi, mbwa mkubwa weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Umeanza vizuri ktk hili igizo lako…Salaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.
Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa siku hiyo.
Mbuzi walichinjwa na kuandaliwa vyema muda ya asubuhi, ilipofika mchana, kililetwa chakula na watu wakala mchana na mbuzi alikuwa safi kabisa.
Sasa baada ya kuzika, nyama iliyobaki ilitunzwa Ili iliwe jioni siku hiyo,
Utata ukaja ilipofika jioni saa 12 wakati wa chakula,
Nilipokwenda kwenye pitapita ZANGU kama mmoja wa viongozi wa msafara, nilipata hamaki kubwa kuona yafuatayo,
Nyama Ile ya mbuzi sufuriani ilionekana kubadilika RANGI na kuonekana Kwa RANGI ya Bluu, na ilionekana kuota ukungu na kuwa kama nyama iliyooza na kukaa siku nyingi ni kama mzoga vile.
Nilipoona Yale, niliwaita ndugu nilioongozana nao msibani na kuwaonya kuwa, yule Si mbuzi tuliyekula mchana, niliwambia nyama imebadilishwa, na Si njema Kwa matumizi ya chakula.
Sasa Kwa kuwa wengi wao hawakuwa na macho ya Roho, walirudi kuiangalia nyama na kuiona Iko sawa na wakapuuza ujumbe na maonyo Yale na walikula chakula na nyama Ile jioni Ile.
Kilichofuata baada ya robo sana hivi, umati Ule uligeuka tafrani, tumbo la kuhara liliwashika wote waliokula nyama Ile, watu waliharisha mfululizo na Kwakuwa mazingira ya vijijini hakuna vyoo vya kutosha, uharibifu wa mazingira ulifanyika vichakani,
Watu wale pale kijijini waliokula nyama Ile waliendesha Kwa usiku kucha, na kesho yake, Kila Mmoja alijutia uamuzi mbovu wa kutosikia maonyo ya mtumishi wa Mungu. Baadae ilikuja fahamika kuwa kundi la wachawi mahasimu waliamua kuchukua nyama Ile nzuri wakaila wao na kuleta mzoga Ili kuwakomoa wafiwa Kwa faida zao kichawi.
FUNZO.
1. Makinika na ulaji wa nyama kwenye misiba, wengi hutafutwa kuangamizwa kichawi katika Makusanyiko ya aina Ile.
2. Ombea maji na chakula chochote kabla ya kula Kwa Imani, na ukisita kula usilazimishe.
3. Pata macho ya rohoni Ili uone sawasawa, uepuke hatari mbeleni.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.
Source: Mtumishi wa Mungu ( Jina linahifadhiwa Kwa sababu maalum).
Kenge weweUsimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, usije ukafanana naye.
Ukimya nao ni jibu.
Kwaheri.
Hayo ndio mnayoyajua waswahili! Mambo ya nyama sijui misiba tukala nyama ya wafu! Mxiuuuuh!Salaam, shalom!!

Ni kweli kabisa MUNGU wa Mbinguni azidi kututia nguvuMavuno ni mengi, watendakazi ni Wachache,
Tuendelee kumuombea Mungu azidishe watendakazi shambani mwa BWANA.
Imagine JF ndani ya saa 1 wanaweza soma watu elfu Moja, jambo ambalo Kwa kuhubiri Kwa nguvu ingechukua muda zaidi.
Mungu akubariki pia.
Ukiwa kwenye jumuia za mtaa Wana tabia za kuchunguzana nani anakula nani Hali hivyo ukipata msiba mlangoni Kwako Wana lipiza kuto kula..Mimi Sili nishafanya hivyo mara kibao
Mtumishi Kuna ndoto huwa naiota kila mara wakati nikilala usiku naomba tafthiri yake tafadhali.Salaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.
Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa siku hiyo.
Mbuzi walichinjwa na kuandaliwa vyema muda ya asubuhi, ilipofika mchana, kililetwa chakula na watu wakala mchana na mbuzi alikuwa safi kabisa.
Sasa baada ya kuzika, nyama iliyobaki ilitunzwa Ili iliwe jioni siku hiyo,
Utata ukaja ilipofika jioni saa 12 wakati wa chakula,
Nilipokwenda kwenye pitapita ZANGU kama mmoja wa viongozi wa msafara, nilipata hamaki kubwa kuona yafuatayo,
Nyama Ile ya mbuzi sufuriani ilionekana kubadilika RANGI na kuonekana Kwa RANGI ya Bluu, na ilionekana kuota ukungu na kuwa kama nyama iliyooza na kukaa siku nyingi ni kama mzoga vile.
Nilipoona Yale, niliwaita ndugu nilioongozana nao msibani na kuwaonya kuwa, yule Si mbuzi tuliyekula mchana, niliwambia nyama imebadilishwa, na Si njema Kwa matumizi ya chakula.
Sasa Kwa kuwa wengi wao hawakuwa na macho ya Roho, walirudi kuiangalia nyama na kuiona Iko sawa na wakapuuza ujumbe na maonyo Yale na walikula chakula na nyama Ile jioni Ile.
Kilichofuata baada ya robo sana hivi, umati Ule uligeuka tafrani, tumbo la kuhara liliwashika wote waliokula nyama Ile, watu waliharisha mfululizo na Kwakuwa mazingira ya vijijini hakuna vyoo vya kutosha, uharibifu wa mazingira ulifanyika vichakani,
Watu wale pale kijijini waliokula nyama Ile waliendesha Kwa usiku kucha, na kesho yake, Kila Mmoja alijutia uamuzi mbovu wa kutosikia maonyo ya mtumishi wa Mungu. Baadae ilikuja fahamika kuwa kundi la wachawi mahasimu waliamua kuchukua nyama Ile nzuri wakaila wao na kuleta mzoga Ili kuwakomoa wafiwa Kwa faida zao kichawi.
FUNZO.
1. Makinika na ulaji wa nyama kwenye misiba, wengi hutafutwa kuangamizwa kichawi katika Makusanyiko ya aina Ile.
2. Ombea maji na chakula chochote kabla ya kula Kwa Imani, na ukisita kula usilazimishe.
3. Pata macho ya rohoni Ili uone sawasawa, uepuke hatari mbeleni.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.
Source: Mtumishi wa Mungu ( Jina linahifadhiwa Kwa sababu maalum).
Kilichowakuta ni sawa kwa sababuSalaam, shalom!!

Ndoto ya kuota uko level ya chini shuleni ni ndoto za kufungwa NAFSI,Mtumishi Kuna ndoto huwa naiota kila mara wakati nikilala usiku naomba tafthiri yake tafadhali.
Mimi nishamaliza chuo,lakini huwa naota ndoto najiona Bado nipo shuleni Tena kwenye level za (O LEVEL) mda mwingine shule ya msingi..jee hii ina maana gani mtumishi???
Ubarikiwe pia 🙏Ni kweli kabisa MUNGU wa Mbinguni azidi kututia nguvu
Shukrani Sana mtumishiNdoto ya kuota uko level ya chini shuleni ni ndoto za kufungwa NAFSI,
Kuna namna kiroho umewekewa mipaka usivuke,
Yaani kimwili uko chuo kikuu au kazini lakini NAFSI imefungwa ulipokuwa sekondari au msingi ukabakizwa huko. Pia Mungu akupa taarifa kuwa unatumika viwango vya chini tofauti na ulivyotakiwa kuwa. Ndoto hizo zinaendana na kutaabika, kukosa KAZI au ajira, madeni, magonjwa nk nk,
Mimi pia zamani niliwahi kuota ndoto hizo, na Si ndoto, ni halisi NAFSI Yako inakwambia ulipo.
Omba sana, soma BIBLIA, funga japo mara Moja Kwa wiki, toa sadaka spesho Kwa Mungu kubatilisha vifungo hivyo vya adui.
Ukifanya hayo, utaanza kuona ukiota ndoto tena za kupanda level za shule Hadi utaota ulipo sasa.
Na automatically utaweza kufikia mafanikio yanayoendana na kibali alichokupa Mungu, kiuchumi, kiroho, kijamii, kiafya utafanikiwa.
Ubarikiwe.
Hapana, wote walishiriki, hawakuwa watu wengi na palikuwa na mboga za majani.Kilichowakuta ni sawa kwa sababu
Mbuzi wawili Msibani ni wachache hivyo hawayoshi kuliwa mchana na jioni.
Tafsiri yake ni kwamba; wageni mlikula mbuzi mchana alaf mkatunza kwaajili ya jioni wakati wenyeji au wameshinda njaa au wamelishwa ugali dagaa.
Funzo; mkienda msibani; msiwatenge wenyeji; wageni mnachokula na wenyeji wale hicho hicho.