Siku tuliyobadilishiwa nyama ya Mbuzi msibani kimiujiza!

Salaam, shalom!!

Nitaeleza Kwa ufupi.

Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.

Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa siku hiyo.

Mbuzi walichinjwa na kuandaliwa vyema muda ya asubuhi, ilipofika mchana, kililetwa chakula na watu wakala mchana na mbuzi alikuwa safi kabisa.

Sasa baada ya kuzika, nyama iliyobaki ilitunzwa Ili iliwe jioni siku hiyo,

Utata ukaja ilipofika jioni saa 12 wakati wa chakula,

Nilipokwenda kwenye pitapita ZANGU kama mmoja wa viongozi wa msafara, nilipata hamaki kubwa kuona yafuatayo,

Nyama Ile ya mbuzi sufuriani ilionekana kubadilika RANGI na kuonekana Kwa RANGI ya Bluu, na ilionekana kuota ukungu na kuwa kama nyama iliyooza na kukaa siku nyingi ni kama mzoga vile.

Nilipoona Yale, niliwaita ndugu nilioongozana nao msibani na kuwaonya kuwa, yule Si mbuzi tuliyekula mchana, niliwambia nyama imebadilishwa, na Si njema Kwa matumizi ya chakula.

Sasa Kwa kuwa wengi wao hawakuwa na macho ya Roho, walirudi kuiangalia nyama na kuiona Iko sawa na wakapuuza ujumbe na maonyo Yale na walikula chakula na nyama Ile jioni Ile.

Kilichofuata baada ya robo sana hivi, umati Ule uligeuka tafrani, tumbo la kuhara liliwashika wote waliokula nyama Ile, watu waliharisha mfululizo na Kwakuwa mazingira ya vijijini hakuna vyoo vya kutosha, uharibifu wa mazingira ulifanyika vichakani,

Watu wale pale kijijini waliokula nyama Ile waliendesha Kwa usiku kucha, na kesho yake, Kila Mmoja alijutia uamuzi mbovu wa kutosikia maonyo ya mtumishi wa Mungu. Baadae ilikuja fahamika kuwa kundi la wachawi mahasimu waliamua kuchukua nyama Ile nzuri wakaila wao na kuleta mzoga Ili kuwakomoa wafiwa Kwa faida zao kichawi.

FUNZO.

1. Makinika na ulaji wa nyama kwenye misiba, wengi hutafutwa kuangamizwa kichawi katika Makusanyiko ya aina Ile.

2. Ombea maji na chakula chochote kabla ya kula Kwa Imani, na ukisita kula usilazimishe.

3. Pata macho ya rohoni Ili uone sawasawa, uepuke hatari mbeleni.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.

Source: Mtumishi wa Mungu ( Jina linahifadhiwa Kwa sababu maalum).
Tubu dhambi zako kwa Allah, ambaye hajazaa wala hajazaliwa na wala hana mfanano wa kitu chochote/ yoyote katika mbingu na Ardhi ...

Yesu hana uwezo wa kusamehe dhambi.. Yesu ni Mja wa Allah kama ilivyo wewe .. huo unafanya ni ushirikina..
 
Yesu Hana mwanzo Wala mwisho.

Ndiye Mungu Mmoja.
 
Tubu dhambi zako kwa Allah, ambaye hajazaa wala hajazaliwa na wala hana mfanano wa kitu chochote/ yoyote katika mbingu na Ardhi ...

Yesu hana uwezo wa kusamehe dhambi.. Yesu ni Mja wa Allah kama ilivyo wewe .. huo unafanya ni ushirikina..
Jina la Allah ni nani,

Maana kitabu chenu kinadai ana Majina mia Moja, 99 yanajulikana, ila Jina lake lile la mia halijulikani,

Sasa tulijue Jina lake Ili tumtofautishe na miungu wengine ikiwa ndiye Mungu Mmoja.
 
Salaam, shalom!!

Nitaeleza Kwa ufupi.

Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko.

Tulipofika, kilikaa kikao na kuazimia mbuzi wawili wachinjwe Ili ipatikane nyama ya kulika msibani Kwa siku hiyo.

Mbuzi walichinjwa na kuandaliwa vyema muda ya asubuhi, ilipofika mchana, kililetwa chakula na watu wakala mchana na mbuzi alikuwa safi kabisa.

Sasa baada ya kuzika, nyama iliyobaki ilitunzwa Ili iliwe jioni siku hiyo,

Utata ukaja ilipofika jioni saa 12 wakati wa chakula,

Nilipokwenda kwenye pitapita ZANGU kama mmoja wa viongozi wa msafara, nilipata hamaki kubwa kuona yafuatayo,

Nyama Ile ya mbuzi sufuriani ilionekana kubadilika RANGI na kuonekana Kwa RANGI ya Bluu, na ilionekana kuota ukungu na kuwa kama nyama iliyooza na kukaa siku nyingi ni kama mzoga vile.

Nilipoona Yale, niliwaita ndugu nilioongozana nao msibani na kuwaonya kuwa, yule Si mbuzi tuliyekula mchana, niliwambia nyama imebadilishwa, na Si njema Kwa matumizi ya chakula.

Sasa Kwa kuwa wengi wao hawakuwa na macho ya Roho, walirudi kuiangalia nyama na kuiona Iko sawa na wakapuuza ujumbe na maonyo Yale na walikula chakula na nyama Ile jioni Ile.

Kilichofuata baada ya robo sana hivi, umati Ule uligeuka tafrani, tumbo la kuhara liliwashika wote waliokula nyama Ile, watu waliharisha mfululizo na Kwakuwa mazingira ya vijijini hakuna vyoo vya kutosha, uharibifu wa mazingira ulifanyika vichakani,

Watu wale pale kijijini waliokula nyama Ile waliendesha Kwa usiku kucha, na kesho yake, Kila Mmoja alijutia uamuzi mbovu wa kutosikia maonyo ya mtumishi wa Mungu. Baadae ilikuja fahamika kuwa kundi la wachawi mahasimu waliamua kuchukua nyama Ile nzuri wakaila wao na kuleta mzoga Ili kuwakomoa wafiwa Kwa faida zao kichawi.

FUNZO.

1. Makinika na ulaji wa nyama kwenye misiba, wengi hutafutwa kuangamizwa kichawi katika Makusanyiko ya aina Ile.

2. Ombea maji na chakula chochote kabla ya kula Kwa Imani, na ukisita kula usilazimishe.

3. Pata macho ya rohoni Ili uone sawasawa, uepuke hatari mbeleni.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.

Source: Mtumishi wa Mungu ( Jina linahifadhiwa Kwa sababu maalum).
Kani hapo kijijini ulipokwenda hakuna zahanati au Hospitali iliyo karibu? Hakuna watu wanaojua tiba mbadala i.e. Dawa za mitishamba zenye kuweza kutibu/kusitisha na kuondoa tatizo la kuharisha?
 
Zahanati km 6, halafu usiku!!

Halafu kuharisha Sumu ndio kupona kwenyewe, Si vyema kuzuia
 
Kama unajiita mtumishi wa Mungu na ulionyeshwa kuwa si nyama halisi ya mbuzi na bado hukuiombea wewe
ili irudi watu wakaharisha na kuchafua mazingira.Ni nini faida ya utumishi wako?

Hoja yako ingepata mashiko kama uliowaonesha wao hawakuona kama imebadirishwa ulipaswa uombe na wao
wapate hayo macho ya rohoni waone kama wewe.

Nahitimisha kwa kusema wewe sio mtumishi bali ni mpiga ramli chonganishi tu na usirudie mara ya2 ningekuwa ndo nimekula nikaharisha ningekupiga mno.
 
Unadhani Kila kitu ni Cha kuombea?

Hata Yesu, Si Kila vita alipigana au kubishana, zingine aliondoka na kuachana nao waliomkataa.

Ukiambiwa usile, acha kula,

Ukiambiwa ombea, unaomba,

Watumishi wa Mungu ni askari.

Askari KAZI yake ni kutii amri Si kubishana na jemedari mkuu.

Umewahi kupitia mafunzo hata ya mgambo tu?

Ungekuwa askari ,ungenielewa haraka.
 
Zahanati km 6, halafu usiku!!

Halafu kuharisha Sumu ndio kupona kwenyewe, Si vyema kuzuia
1. Km 6 ?? Mbona karibu sana! Siku hizi boda zipo kila mahali na hata kwa miguu haponi jirani tuu.
2. Umejuaje kwamba ilikuwa ni sumu?? Kama ilikuwa ni sumu, basi unawaonea tu bure wachawi kwani mambo ya uchawi sio rahisi kuyagundua. Wachawi hawatumii sumu.
 
Sasa unabishana na nani?
 
Umeandika upumbavu mtupu. Walokole kaeni chini na wachawi mkubaliane jinsi ya kufanya shughuli zenu maana wote nyie ni washenzi.
Kuwa na adabu wewe sio una harisha harisha tu kama mgonjwa wa kipindupindu uliye kula mavi, mbwa mkubwa weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tukio Kama hili lilitokea mwaka 2014 nilimpoteza ba mdogo.

Mimi tangia hapo nimekua naepuka kula misibani..

Tulizika vizuri kijijini baada ya hapo tukarudi kupata chakula mida ya jion nilikua nanjaa Sana nikafakamia wali nyama, pilau..

Iliopo fikra jion Giza Giza watu tukaanza kuhara Kuna kaka zangu wali hara Sana kiasi walikimbizwa hospital kutundikwa drip za maji..

Uncle angu nae akaanza kuhara mfululizo yaan tukawa tunapishana chooni si unajua choo kipo mbali na nyumba tukapiga kambi chooni

Siwezi sahau usiku ule...baadae kesho yake nikamuuliza mtaalam akasema wachawi waliwema mambo yao sababu waliona msiba wetu ulikua na watu wengi na ushirikiano mkuu

Ogopa Sana kula ovyo ovyo misibani.
Asante mkuu kwa ushuuda wako na ushauri🙏🙏
 
Back
Top Bottom