Siku tuliyobadilishiwa nyama ya Mbuzi msibani kimiujiza!

Maandishi haya si mageni jijini
 
Kuna siku niliota ndoto wafanyakazi wenzangu wawili wa kike wanapika chakula.....

Baada ya kama wiki hivi ofisini kulikuwa na hafla fulani hivi na mmoja wa wale wafanyakazi wenzangu wawili wa kike niliowaota ndotoni ndio akawa mgawaji wa chakula....

Nilishtuka sana na kama kawaida yangu ofisini huwa nakwepa sana chakula chao cha pamoja kwa kuzuga nimefunga au tumbo linashida siwezi kula....

Cha kushangaza kuna watu ofisini wananichukiaga sana kwani huwa nakwepa chakula chao cha pamoja ambacho wao wameratibu


Ofisi imejaa mazombie hataree

Kuna misiba mingi nimehudhuria hakunaga chakula bali ni maji na soda tu

Usipende kula hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…