Siku ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa una mke mtamu

Tulio oa tukiwa hatuna kazi wala michongo haituhusu hii, hii inawahusu wanaume wa Dar

Watu huku mikoani wanaoa ndio wanaanza kutafuta kazi, godoro linawekwa chini, ndoo moja kijiko na sahani mbili life linasonga na wife anakuwa hana dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…