Siku ukijua maana ya Elimu utaacha kujiona bora kuliko wenzako

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
"Siku ukijua maana ya Elimu utaacha kujiona bora kuliko wenzako ,kutwa kukosoa wenzako na cha kuigwa huna katika Maisha yako"

....... Habari zenu wanajukwaa....
Kuna baadhi ya members wa jukwaa hili naomba niwaulize swali moja (JamiiForums) kwanini ilianzisha ukurusa wake kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Instagram?

▪︎Maoni ya baadhi ya members wa jukwaa hili maoni yao mengi nayasoma utasikia ▪︎▪Jf imepoteza Maana•
.... Jf haiwezi kupoteza maana kama wanaoitumia ndo watakuwa wamepoteza maana ya( JF)

□ kwa members baadhi wa Jf wanaojivunia kuwa JF kwa kuponda mawazo ya watu na maoni yao...

'aliyekwambia kuna Tajiri aliyeajiriwa ni nani?'

👤 Naombaa kuuliza we members wa Jf , Jf imekusadia au imekujenga kipi na umefanikiwa kupitia Jf, umepata kujiajiri au kuajiliwa na unaponda maoni ya watu uwaga unapata faida gani?

👤 Wabongo baadhi ni Wachawi(wanga) bila wao kujijua... Mwanaume mwenzako ndo anayekutafutia watu wakupoteze ili aishi na Mke wako.

👤 Pole kama umeajiliwa, ajitahidi ujiajiri mshahara wako hata kama unalipwa zaidi ya 20m , utaiona nyingi kwasababu bado umeajiliwa........ ila siku ukistaafu utaitafuta kwa tochi mwisho utakufa mapema na presha.

👤 Dharau, hii kitu kinasomba Wasomi wengi kudharau watu wanaopambana kutafuta mia zao na wenye elimu ya kawaida.....

📌 Sasa nipe Maana ya ELIMU| yako kama mpaka sasa hivi uko unateseka unadhurura kutafuta ajira na umesoma... definition ya Education ni nini? We ulikuwa unasoma au unasomewa....
👉hata kama umepata kazi, umeajiliwa bado ujafanikiwa kuhusu Elimu yako bado Elimu yako inakutesa.

📌Elimu Yako ndo inayokutesa...baadala ya elimu yako kukupa Mwongozo sahihi.. unajua matatizo ya kuajiliwa.. sijasema uache kazi au ajira... hapana acha ajira ukiwa umejikoki na ajira acha sio ufukuzwe...

👤 JF.... ni ya watu wachache, japo wametupa nafasi ya kushusha tuliyonayo kwa akili zetu haya sasa wewe unayesifia vya mataifa... huo si uchawi wakati promo ungeweza kuipigia (JamiiForums) ikawa moja ya website kubwa sana Duniani...

👤 Kuongea kila unachosikia sio akili, kunyama nalo jibu na sio kila ukiumizwa uropoke acha yapite .

👤 Watanzaniai lawama ni Jadi Yetu........ kila kukicha Maisha ni Magumu lini Maisha yakawa rahisi kwa khari ya uchumi Bongo... ?

...... KAMA UTAJIRI UNGEKUWA WANAPEWA WENYE ELIMU NADHANI KILA MTU ANGEKUWA MSOMI.
... ACHA UKAPUKU ELIMU YAKO NI MZIGO KWAKO BADO UJATAMBUA MAANA YA ELIMU ULINAYO.
 
Mimi Mnyakyusa mwenye degree 9 ni bora sana kuliko Watu walioishia la 7 C.

Wajumbe si Watu kabisa, degrees zangu zote hizi bado wakanichinjia baharini?
 
"Siku ukijua maana ya Elimu utaacha kujiona bora kuliko wenzako ,kutwa kukosoa wenzako na cha kuigwa huna katika Maisha yako"

....... Habari zenu wanajukwaa....
Kuna baadhi ya members wa jukwaa hili naomba niwaulize swali moja (JamiiForums) kwanini ilianzisha ukurusa wake kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Instagram?

▪︎Maoni ya baadhi ya members wa jukwaa hili maoni yao mengi nayasoma utasikia ▪︎▪Jf imepoteza Maana•
.... Jf haiwezi kupoteza maana kama wanaoitumia ndo watakuwa wamepoteza maana ya( JF)

□ kwa members baadhi wa Jf wanaojivunia kuwa JF kwa kuponda mawazo ya watu na maoni yao...

'aliyekwambia kuna Tajiri aliyeajiriwa ni nani?'

👤 Naombaa kuuliza we members wa Jf , Jf imekusadia au imekujenga kipi na umefanikiwa kupitia Jf, umepata kujiajiri au kuajiliwa na unaponda maoni ya watu uwaga unapata faida gani?

👤 Wabongo baadhi ni Wachawi(wanga) bila wao kujijua... Mwanaume mwenzako ndo anayekutafutia watu wakupoteze ili aishi na Mke wako.

👤 Pole kama umeajiliwa, ajitahidi ujiajiri mshahara wako hata kama unalipwa zaidi ya 20m , utaiona nyingi kwasababu bado umeajiliwa........ ila siku ukistaafu utaitafuta kwa tochi mwisho utakufa mapema na presha.

👤 Dharau, hii kitu kinasomba Wasomi wengi kudharau watu wanaopambana kutafuta mia zao na wenye elimu ya kawaida.....

📌 Sasa nipe Maana ya ELIMU| yako kama mpaka sasa hivi uko unateseka unadhurura kutafuta ajira na umesoma... definition ya Education ni nini? We ulikuwa unasoma au unasomewa....
👉hata kama umepata kazi, umeajiliwa bado ujafanikiwa kuhusu Elimu yako bado Elimu yako inakutesa.

📌Elimu Yako ndo inayokutesa...baadala ya elimu yako kukupa Mwongozo sahihi.. unajua matatizo ya kuajiliwa.. sijasema uache kazi au ajira... hapana acha ajira ukiwa umejikoki na ajira acha sio ufukuzwe...
Oke kwa kifupi sana... mtoa mada umepata D satisfactory. umefeli darsasni hata hiki ulichokitaka humu umeshindwa kukielezea mbali na kufeli fom foo na kuanza kulisaka tonge huku ukikataa kudharauliwa taratiiiiiiib.
Umekosa focus, mosi. hujui unaenda wapi.. unaikosoa elimu mifano unatoa ya marafiki kukulia mkeo. how?.
kwa kifupi sana,pia huna uwerzo na vigezo vya kulizungumzia tatizo la ajira kwa sabab kubwa ya uelewa, utaishia kukejeli wasiokua na ajira. KIuhalisia tatizo la ajira liko juu ya uwezo wa mtu mmoja mmoja.
Naona unakosoa na kutoa ushauri tena kwa lazima. Kwamba wasio na ajira elim haijawasaidia kitu na hata wakiajiriwa na kulipwa mshahara mnono WAJIAJIRI. kwa nn lakini?
kichwa kishapata motoi au umetumwa?
 
Oke kwa kifupi sana... mtoa mada umepata D satisfactory. umefeli darsasni hata hiki ulichokitaka humu umeshindwa kukielezea mbali na kufeli fom foo na kuanza kulisaka tonge huku ukikataa kudharauliwa taratiiiiiiib.
Umekosa focus, mosi. hujui unaenda wapi.. unaikosoa elimu mifano unatoa ya marafiki kukulia mkeo. how?.
kwa kifupi sana,pia huna uwerzo na vigezo vya kulizungumzia tatizo la ajiora kama sabab kubwa ya ku7akejeli wasiokua na ajira. tatizo la ajira liko juu ya uwezo wa mtu mmoja mmoja.
Naona unakosoa na kutoa ushauri tena kwa lazima. Kwamba wasio na ajira elim haijawasaidia kitu na hata wakiajiriwa na kulipwa mshahara mnono WAJIAJIRI. kwa nn lakini?
kichwa kishapata motoi au umetumwa?
Elimu uliyonayo na huna hata ulichosaidia jamii we una tofaut na Mbuzi anayefugwa.
 
kugawa hela au kusaidfia kivipi mkuu? Mana kwa bahresa hapa Kahama road watu wanavizia atoke n gari awap[e hela ya kula kila siku iendayo kwa mungu
 
Huwezi kunielewa kwasababu unakariri. Ukiondoa Elimu uliyonayo sijui utabaki na nini kichwani mwako kama sio nywele 😁 sa we ndo bakhresa
 
Na hasa ukijua maana ya elimu na malengo yake ya ujumla. Kwanza ujue elimu ni nini? Kuna mtu mwenye elimu na mtu aliyeelimika. Wapo ambao wana elimu lakini hawajaelimika
 
Hata kama nimeishia la saba b ila kwenye uzi kama huu siwez kaa kinyonge. Hivi dogo mbona heading yako inakinzana na maelezo yako?
 
Huwezi kunielewa kwasababu unakariri. Ukiondoa Elimu uliyonayo sijui utabaki na nini kichwani mwako kama sio nywele 😁 sa we ndo bakhresa
Nd ujue kwamba elimu ni kitu kingine na kusaidia watu direct kama unavyotaka wewe ni kitu kingine. Na ukitaka kuzungumzia elimu kama tatizo usiguse kabisa ajira,. mana utazungumzia matatizo mawili kwa pamoja... ila umejaribu jarib bwa mdogo.
 
huu uzi wako sijauelewa ulikua unalalamikaaaa ama unatoa ushauri ama unazomea ama unauliza maswali ama ni nini hiki haswa?
 
Hv sasa hata wasio soma nao wanawadharau walio soma et kisa wanatafuta ajira halaf unatakiw kujua maana ya elimu ili na ww ujue cha kuisaidia jamii yako usiwaulize tu et waliosoma wameisaidia nn jamii bali pia jiulize na ww pia umeisaidia nn jamii baada y kujua maana ya elimu
"Siku ukijua maana ya Elimu utaacha kujiona bora kuliko wenzako ,kutwa kukosoa wenzako na cha kuigwa huna katika Maisha yako"

....... Habari zenu wanajukwaa....
Kuna baadhi ya members wa jukwaa hili naomba niwaulize swali moja (JamiiForums) kwanini ilianzisha ukurusa wake kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Instagram?

▪︎Maoni ya baadhi ya members wa jukwaa hili maoni yao mengi nayasoma utasikia ▪︎▪Jf imepoteza Maana•
.... Jf haiwezi kupoteza maana kama wanaoitumia ndo watakuwa wamepoteza maana ya( JF)

□ kwa members baadhi wa Jf wanaojivunia kuwa JF kwa kuponda mawazo ya watu na maoni yao...

'aliyekwambia kuna Tajiri aliyeajiriwa ni nani?'

👤 Naombaa kuuliza we members wa Jf , Jf imekusadia au imekujenga kipi na umefanikiwa kupitia Jf, umepata kujiajiri au kuajiliwa na unaponda maoni ya watu uwaga unapata faida gani?

👤 Wabongo baadhi ni Wachawi(wanga) bila wao kujijua... Mwanaume mwenzako ndo anayekutafutia watu wakupoteze ili aishi na Mke wako.

👤 Pole kama umeajiliwa, ajitahidi ujiajiri mshahara wako hata kama unalipwa zaidi ya 20m , utaiona nyingi kwasababu bado umeajiliwa........ ila siku ukistaafu utaitafuta kwa tochi mwisho utakufa mapema na presha.

👤 Dharau, hii kitu kinasomba Wasomi wengi kudharau watu wanaopambana kutafuta mia zao na wenye elimu ya kawaida.....

📌 Sasa nipe Maana ya ELIMU| yako kama mpaka sasa hivi uko unateseka unadhurura kutafuta ajira na umesoma... definition ya Education ni nini? We ulikuwa unasoma au unasomewa....
👉hata kama umepata kazi, umeajiliwa bado ujafanikiwa kuhusu Elimu yako bado Elimu yako inakutesa.

📌Elimu Yako ndo inayokutesa...baadala ya elimu yako kukupa Mwongozo sahihi.. unajua matatizo ya kuajiliwa.. sijasema uache kazi au ajira... hapana acha ajira ukiwa umejikoki na ajira acha sio ufukuzwe...

👤 JF.... ni ya watu wachache, japo wametupa nafasi ya kushusha tuliyonayo kwa akili zetu haya sasa wewe unayesifia vya mataifa... huo si uchawi wakati promo ungeweza kuipigia (JamiiForums) ikawa moja ya website kubwa sana Duniani...

👤 Kuongea kila unachosikia sio akili, kunyama nalo jibu na sio kila ukiumizwa uropoke acha yapite .

👤 Watanzaniai lawama ni Jadi Yetu........ kila kukicha Maisha ni Magumu lini Maisha yakawa rahisi kwa khari ya uchumi Bongo... ?

...... KAMA UTAJIRI UNGEKUWA WANAPEWA WENYE ELIMU NADHANI KILA MTU ANGEKUWA MSOMI.
... ACHA UKAPUKU ELIMU YAKO NI MZIGO KWAKO BADO UJATAMBUA MAANA YA ELIMU ULINA
 
Back
Top Bottom