Siku ukikosa usingizi huwa unafanya nini mpaka unalala?

Siku ukikosa usingizi huwa unafanya nini mpaka unalala?

JF kila mtu anakunywa shot glass of wine hakuna anekunywa dengerua.. anaekunywa chimpumu.

Fake news.. fake life.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Huna uwezo wa glass of wine niwewe boss

uwezi LAZIMISHA Watu waishi Unavyo tamani
255654941272_status_e1b8993872474c3d92c033f5d4441c24.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila gambe siwezi kulala... Narudia Tena bila kulewa siwezi kulala...... Labda nimerogwa na mganga mlevi
 
Back
Top Bottom