Siku ukikosa usingizi huwa unafanya nini mpaka unalala?

Siku ukikosa usingizi huwa unafanya nini mpaka unalala?

1.Huwa naingia kwenye phone book yangu kucheck aliye tayari kuja au kufuatwa.

2.Nikiwa vizuri naingia road kuelekea kulipochangamka. Naamini nitapata kampani.

3. Naingia JF nasoma nyuzi tu kama zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi huwa naingia fb kule kwa washamba washamba naboeka mwisho wa siku najikuta nimelala ila nikiingia Jf (jf huwa haiboi) najikuta nakesha kabisa hasa nikiingia kwenye ule uzi wetu pendwa wa Tunda Kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom