Siku ukikosa usingizi huwa unafanya nini mpaka unalala?

Siku ukikosa usingizi huwa unafanya nini mpaka unalala?

For about two months nimekosa good sleep... nakosa usingizi...........if you have problems movies hazitazamiki...piriton haisaidii....its just you and your wide open eyes in the dark...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hahahahaa inategemea siku hio, ila huwa nasikiliza sana RADIO SAFINA au Upendo Radio hadi nalala
 
Wewe popote unaweza kulala,yaani una usingizi. Wapo ambao usingizi unasumbua balaa. Unacheck movie ndio macho na akili inajiongeza kwenye movie,na usingizi ndio unaukimbiza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia movie za kubore,
Kama mimi nikiona usingizi hauji kwa mchana naangalia twilight, dakika 15 tu nakoroma.
 
Nikiwa na jambo linalonisumbua mara nyingi nakosa usingizi,,,hili nilale kwa amani nachukua dairy yangu naandika hiko kitu nakuwa kama nimetua mzigo au nasali....baada ya hapo nalala vizuri tu...hila nisipofanya hivo lazima nikeshe afu asubuhi kichwa kinauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom