[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Naendeleza my imaginary story. Kuna vitu huwa natengeneza kwenye akili yangu ambavo nawish viwe. Kwahiyo kabla sija fall asleep naendeleza nilipoishia jana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Nafunga macho. Navuta picha kuna kondoo 100 upande mmoja wa barabara, naanza kumvusha mmoja mmoja. Nikijitahidigi sana nafikaga kondoo ya 49.
Hii inaleta usingizi chaaaaap
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi na wewe wakati mwingine unakuwaga na episode za huzuni zinazoliza?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hii safi sana mwenyewe huwa nina episodes kibao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen Pendo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Mungu akubariki sana. Umenifurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app