Litelamusi Member Joined Apr 7, 2020 Posts 88 Reaction score 89 Feb 3, 2024 #21 Unaongelea urusi ipi,mbona mm nipo hapa Sochi nafilimba mabinti zao vibaya mno.
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 9,968 Reaction score 16,680 Feb 4, 2024 #22 wangatala said: Umewai golini Mpira umeuacha nyuma,Umepiga kiguu na njia mpaka Russia,CCM hukuiona.View attachment 2892836View attachment 2892838 Click to expand... Hizi ni siasa tu ila Kwa mtu ambae ameshakutana na wazungu wa Ulaya mashariki anajua jinsi wanavyotuchukuliwa watu weusi.
wangatala said: Umewai golini Mpira umeuacha nyuma,Umepiga kiguu na njia mpaka Russia,CCM hukuiona.View attachment 2892836View attachment 2892838 Click to expand... Hizi ni siasa tu ila Kwa mtu ambae ameshakutana na wazungu wa Ulaya mashariki anajua jinsi wanavyotuchukuliwa watu weusi.
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Feb 4, 2024 #23 Russia poa tu na kibaridi kwa mbali,hakuna tatizo kihivyo na vodka ndiyo kama kahawa.Mbona marehemu Dr Shika aliishi poa tu?
Russia poa tu na kibaridi kwa mbali,hakuna tatizo kihivyo na vodka ndiyo kama kahawa.Mbona marehemu Dr Shika aliishi poa tu?
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Feb 4, 2024 #24 wangatala said: Umewai golini Mpira umeuacha nyuma,Umepiga kiguu na njia mpaka Russia,CCM hukuiona.View attachment 2892836View attachment 2892838 Click to expand... walikuwa wap siku zote ? ndo maana mleta post anasema hao ni wabaguz , china ni jiran zao ila walikuwa wap siku zote ?
wangatala said: Umewai golini Mpira umeuacha nyuma,Umepiga kiguu na njia mpaka Russia,CCM hukuiona.View attachment 2892836View attachment 2892838 Click to expand... walikuwa wap siku zote ? ndo maana mleta post anasema hao ni wabaguz , china ni jiran zao ila walikuwa wap siku zote ?