Katiba mpya sio jambo la hisani ya viongozi au nini, bali ni haki ya wananchi wote tambua hilo!. Umeingia tu madaraka una miezi 3 kiongozi wa Chama Chama Upinzani ana hamashisha watu waingie mitaani wadai katiba mpya
2. Umeongeza mishahara kwa watumishi kulingana na hali ya Uchumi wa nchi, mtu anaandaa watu wawe na Mgomo baridi makazini
Hao sasa hivi ni Nyuki wa mashineniNgoja tuvuke mto
Chadema kwa sasa wanashiriki ujenzi wa Taifa, usiwakwazwe bwashee
nitampiga nimuue.Habari JF,
Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti...
Nitamtafutia mdada km yule aliyemficha diwan na mkewe nitamtafutia kibenten alaf wote watafanyiwa km mama j na utopolo mwenzake baada ya hapo magazet na redio za udaku+insta na Twitter kote huko habar itakuwa ni hiyo baada ya mwez tisiaraei watakuja kuizimua na ndani ya chama mambo yatakua [emoji95][emoji95][emoji95] mpaka akija kukaa sawa sidhan km atakumbuka hayo uliyoyasema hapo[emoji41][emoji41][emoji41]Habari JF,
Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti...
Hahaha daaanitampiga nimuue.
😂😂😂😂Nitamtafutia mdada km yule aliyemficha diwan na mkewe nitamtafutia kibenten alaf wote watafanyiwa km mama j na utopolo mwenzake baada ya hapo magazet na redio za udaku+insta na Twitter kote huko habar itakuwa ni hiyo baada ya mwez tisiaraei watakuja kuizimua na ndani ya chama mambo yatakua [emoji95][emoji95][emoji95] mpaka akija kukaa sawa sidhan km atakumbuka hayo uliyoyasema hapo[emoji41][emoji41][emoji41]
wanaharakati sio wakuwachekeanisingewafanya chochote, kuepusha machafuko kama aliyotokea srilanka ningejiuzulu tu kwani lazima mimi tu ndiye nafaa kuwa Rais
Nikweli Kuna watu Inatakiwa wapotezwe kwa maslai ya Nchi,Habari JF,
Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti.
Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya.
Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu utamfanyaje?
1. Umeingia tu madaraka una miezi 3 kiongozi wa Chama Chama Upinzani ana hamashisha watu waingie mitaani wadai katiba mpya
2. Umeongeza mishahara kwa watumishi kulingana na hali ya Uchumi wa nchi, mtu anaandaa watu wawe na Mgomo baridi makazini
3. Unatengeneza mazingira mazingira mazuri ya kupata pesa kutoka nje ,Mtu anapiga propaganda huko nje kwamba wale watu sio wa kuwapa pesa
4. Unahamasisha watu walipe kodi na Tozo kwa ajiri ya maendeleo mtu yuko bize mitaani na mitandaoni kupinga zoezi hilo lisifanikiwe
5. Uko bize unapambana na Changamoto za uongozi Mtu yuko bize mitandaoni ana andika mambo machafu na kukutukana mitandaoni mbele ya watu unao waongoza
6. Unapambana na changamoto za Uongozi mtu yuko bize kwenye Chama kumobilize wanachama wakutoe madarakani
7. Unajitahidi kuongoza Nchi pamoja na changamoto zake Mtu yuko bize kupiga propaganda Chafu uonekane hufanyi kitu.
Wana JF mtu huyu utamfanyaje? Maana hiki ndio chanzo kikubwa cha viongozi wengi kuonekana wabaya Duniani.
Binafsi mtu wa namna hii siwezi mvumilia hata kidogo na ntapoteza watu wachache kwa ajili ya maendeleo ya watu wangu.
Lakini haui watu,Wala kuteka watu!Ningejiuzulu kwa kuwa yote hayo chanzo ni mimi kuruhusu ufisadi kuruhusu watu kula kwa urefu wa kamba umeme kukatika hovyo uchumi kuporomoka n.k Ningejiuzulu haraka! Tena ningetubu kwa Mungu
MKUUHabari JF,
Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti.
Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya.
Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu utamfanyaje?
1. Umeingia tu madaraka una miezi 3 kiongozi wa Chama Chama Upinzani ana hamashisha watu waingie mitaani wadai katiba mpya
2. Umeongeza mishahara kwa watumishi kulingana na hali ya Uchumi wa nchi, mtu anaandaa watu wawe na Mgomo baridi makazini
3. Unatengeneza mazingira mazingira mazuri ya kupata pesa kutoka nje ,Mtu anapiga propaganda huko nje kwamba wale watu sio wa kuwapa pesa
4. Unahamasisha watu walipe kodi na Tozo kwa ajiri ya maendeleo mtu yuko bize mitaani na mitandaoni kupinga zoezi hilo lisifanikiwe
5. Uko bize unapambana na Changamoto za uongozi Mtu yuko bize mitandaoni ana andika mambo machafu na kukutukana mitandaoni mbele ya watu unao waongoza
6. Unapambana na changamoto za Uongozi mtu yuko bize kwenye Chama kumobilize wanachama wakutoe madarakani
7. Unajitahidi kuongoza Nchi pamoja na changamoto zake Mtu yuko bize kupiga propaganda Chafu uonekane hufanyi kitu.
Wana JF mtu huyu utamfanyaje? Maana hiki ndio chanzo kikubwa cha viongozi wengi kuonekana wabaya Duniani.
Binafsi mtu wa namna hii siwezi mvumilia hata kidogo na ntapoteza watu wachache kwa ajili ya maendeleo ya watu wangu.
kuna watu hata mfanyaje hawaoni utawasaidiaje na wanaharibu mitzamo ya watu wengineMKUU
UNAKUMBUKA kikwete NDANI ya CHAMA aliwaambiaje Wana CCM!!?
""Wakisema hatufanyi KAZI pazeni SAUTI mseme tumefanya HIVI na vile!!!
"Tukianza kutegemea polisi kutetea chama tumekwisha""
Sasa wewe sema humu chama kimefanya nini Ili watu nao waseme wamekosea Nini!!?
Kwanini kupoteza watu? Sheria zipo hadi za uhaini,Nikweli Kuna watu Inatakiwa wapotezwe kwa maslai ya Nchi,
Maana Ni maadui wa maendeleo
Jiwe aliwaachia makovu sana nyie wapumbavu!Naupenda utawala wa Rais Samia sababu sio mabavu kama wa Jiwe, Jiwe alikuwa shetani mtu.
CHADEMA wanachofanya ni sahihi kabisa sababu wao ni Upinzani. Mpinzani kazi yake ni hiyo.
Ukiwa kiongozi top, lazima uwe na guts, sio kila jambo negative la kulibeba moyoni, elewa kuwa hao wanaotamka negative ni kadhaa, na wapo kadhaa wanaozungumza positive kuhusu wewe.