Siku ukiwa Rais mtu wa aina hii utamfanya nini?

Chakufanya hapo ni kutekeleza wajibu wako kwa ufasaha, wa hali juu.
Pasipo kuangalia Negatives thoughts
 
Sasa we usiependa kulamba asali( kuwa na maisha matamu na ya amani, ndo muhaini mnaoitaji kufutwa hili Nchi ibakie na wazalendo tu.
 
Ndio maana haswa ya uongozi, uongozi ni pamoja na changamoto kama hizo, hakuna kazi rahisi duniani.

Unachotakiwa kufanya juu ya mtu wa namna hiyo ni kufanya zaidi majukumu yako kwa umakini na ufasaha nae atakosa sababu ya kukupinga.
 
Jiwe aliwaachia makovu sana nyie wapumbavu!

Yani kila uzi lazima atajwe!

Ok.. Hivi cha kujivunia kwenye huu utawala wa Samia ni kipi?
hakika
 
Lakini haui watu,Wala kuteka watu!
Ameua masikini wengi wajawazito waliofia njiani kwa ubovu wa miundombinu ameua masikini waliokosa huduma Bora za afya ametesa maelfu ya wananchi kwa tozo za hovyo bibi masikini aliyepo kijijini ulimtumia mwanae mgonjwa fedha anatozwa kodi kama mfanyabiashara! Ametesa maelfu ya wamachinga n.k itoshe kusema HAFAI!
 
Sasa we usiependa kulamba asali( kuwa na maisha matamu na ya amani, ndo muhaini mnaoitaji kufutwa hili Nchi ibakie na wazalendo tu.
Unashabikia watu kufutwa? Utaishi milele na huo uzalendo wako?
Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu unaweza kufa kabla ya kuwapoteza hao unaofurahia wakipotea,
Tumia hekima kwenye majibu yako, wewe huna uwezo wa kuongeza hata ukucha mmoja kwenye vidole vyako,
Uhai ni wa Mwenyezi Mungu uheshimiwe
 
Kunywa maji mwanangu! Usipanic
 
Hivi Kuna Nchi ambayo imeendelea bila kodi? tulipe Kodi hili tuache kuwa Nchi tegemezi,

Hao Western ambao ni wadau wetu wa maendeleo, fedha wanazotukopesha Ni zao la tozo za Kodi kutoka kwa wananchi wao, Tena wenzetu wana makodi makubwa kuliko sisi nchi za hali ya chini
 
Ndio maana wewe sio Rais
 
Naskia vijana wa BAVICHA mnataka kususia sensa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…