Siku ulipoachana na mpenzi wako ulimwambia neno gani?

Siku ulipoachana na mpenzi wako ulimwambia neno gani?

Hahaaaaa kufa tu mkuu hamna namna nikikupa nafasi ukaniona mjinga nilivokunyamazia sasa isome number taratibu tu hamna namna.
Lakini umenisotesha sana. Unajua ni muda gani sijafeel pendo lako? Nionee huruma please, niunblock nikutumie zile sms unapenda
 
She: Please usinitext tena.

Me: I can't babe I luv u.

She: Jus told u sikuhitaji...

Me: Babe pls I need u.

She: We don' t chet on people we need jinga wewe..

Me: But I told u she claimed she has sweeter pussy than urs. I had to prove it, na alidanganya muda wote nilikua namwambia how wrong she is.

She: You r crazy. U kno dat? U gon cheat on me with that silly ass story?? Go fck urself

Me: Babe I been fckn maself for a month now. Nionee huruma.

Me: Babe...

Me: Mke

Me: Hun?

Me: Dear...?

Me: Unariiiiiinga chogo kama mkuki.
Taahira kweli wewe hahahaaaaa
 
UNajua siku utakayo badilisha hiyo avator yako ndo akili zako zitakapo rudi Man wewe ni master wa pumba hapa jukwaan..
Ouk nitarudi kuendelea na mada baadae nilete mchango wangu
Pumba ziko wapi hapo mkuu?
 
Roho mbaya yangu nini ungejua yaliyo tokea ungenipa pole mkuu. Mie siku hizi ni block na ku delete number. Ila ku blokiwa Kuna uma
Alikufanya nini mkuu?
 
Mi binafsi hua nawaacha wanawake waamue, anachotaka ntafuata, hua na huruma sana kwenye kufanya maamuzi ya kuachana nikizingatia wanawake ni dhaifu, ila yeye akisema sijui kuanzia leo usinijue tena!!!! Hua nasema poa na ntaheshimu maamuzi yako. Ila baadae tusisumbuane maswala ya kuombana msamaha.

Huwa sigeuki nyuma kwa maamuzi yangu, hata kama yesu ashuke kumuombea msamaha au kama nampenda vipi. Personal, my pride is my worst enemy, work-aholic is my second enemy.[emoji18]
Tuko sawa mkuu
 
Back
Top Bottom