cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Sema siwezi funguka asije jua bure humu. Ila alilolifanya Mungu anajua wallah. Nimekoma na nimejifunza kitu kikubwa sana
Alikufanya nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikufanya nini mkuu?
Wewe huyo
Roho mbaya iko wapi sasa hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Roho mbaya Hizo mkuu
Kuliko kumkaushia ni vyema umwambieMim sijawahi kumwambia maneno machafu mwanamke, huwa naamka kupotezea na kuacha kupokea simu na sms sizijibu Basi maisha yanaendelea.
Si ndio vizuri ili ajue...huu ukmya unaweza dhuru ujueKumchana mtu live
Aiseeee Kuna kipindi mwanamke Ana kera kuzidi kipimo na ukimpa mda wa kujadiliana mnarudia mlemle na ukiangalia Kazi za mhimu zinakusubiri ili uingize chapaaaa nini kipi boraKuliko kumkaushia ni vyema umwambie
YeaDuuuu
Kama ni hivyo bora pesa banaAiseeee Kuna kipindi mwanamke Ana kera kuzidi kipimo na ukimpa mda wa kujadiliana mnarudia mlemle na ukiangalia Kazi za mhimu zinakusubiri ili uingize chapaaaa nini kipi bora
Mim nakumbuka nishasahau tender opening day, kisa mapenz na Ile tender ilikuwa ya mamilion ya pesa kwenye NGOs moja na tender nilishinda ila kwa sababu sikuwepo project akapewa mshindi wa pili toka hapo I hate 2rue love, mwanamke ambaye Hana akili ya kusoma nyakati Mola anipe wepesi wa kumsahau, na huwa simwambii kama tumeachana mana ktk kuzozana naweza jishushia heshima yang.Kama ni hivyo bora pesa bana
Pole sana mkuuMim nakumbuka nishasahau tender opening day, kisa mapenz na Ile tender ilikuwa ya mamilion ya pesa kwenye NGOs moja na tender nilishinda ila kwa sababu sikuwepo project akapewa mshindi wa pili toka hapo I hate 2rue love, mwanamke ambaye Hana akili ya kusoma nyakati Mola anipe wepesi wa kumsahau, na huwa simwambii kama tumeachana mana ktk kuzozana naweza jishushia heshima yang.
Aisee...hata Mimi ningechukia kwakweliMim nakumbuka nishasahau tender opening day, kisa mapenz na Ile tender ilikuwa ya mamilion ya pesa kwenye NGOs moja na tender nilishinda ila kwa sababu sikuwepo project akapewa mshindi wa pili toka hapo I hate 2rue love, mwanamke ambaye Hana akili ya kusoma nyakati Mola anipe wepesi wa kumsahau, na huwa simwambii kama tumeachana mana ktk kuzozana naweza jishushia heshima yang.