Siku ulipoachana na mpenzi wako ulimwambia neno gani?

Sema siwezi funguka asije jua bure humu. Ila alilolifanya Mungu anajua wallah. Nimekoma na nimejifunza kitu kikubwa sana
Pole sana njoo kwa MR ZerO IQ atakupa Mahaba kama yote
 
Kama ni hivyo bora pesa bana
Mim nakumbuka nishasahau tender opening day, kisa mapenz na Ile tender ilikuwa ya mamilion ya pesa kwenye NGOs moja na tender nilishinda ila kwa sababu sikuwepo project akapewa mshindi wa pili toka hapo I hate 2rue love, mwanamke ambaye Hana akili ya kusoma nyakati Mola anipe wepesi wa kumsahau, na huwa simwambii kama tumeachana mana ktk kuzozana naweza jishushia heshima yang.
 
i will miss you forever like the sun miss the moon...and i will cherish till the end all dreams although you have turned them into a history
 
Pole sana mkuu
 
Aisee...hata Mimi ningechukia kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…