Siku ulipoachana na mpenzi wako ulimwambia neno gani?

kuachana na mtu
huwa siku zote kuna
nafsi mbili
(nafsi moja huona inadhurumiwa na nyingine inaona imefanya maamuzi sahihi ingawa pia roho inaweza kuwa inamuuma kwa huo uamuzi)

hapo kwa lugha nyingine ni vita baina ya nafsi mbili zilizopenda na sasa zinageuka kuwa maadui

Kila neno utakalomwambia mwenzako ili muachane basi lengo huwa ni moja tu
KUMUUMIZA coz hakuona wala kutambua
thamani yako

Kwa hiyo unamwambia neno ili limchome moyoni mwake

Hahahaha mie nilimwbia neno moja tu
MCHAWI!
 
SIJAWAHI ACHA...MMOJA ALITIA KUNIACHA..BAADAE AKARUDI MWENYEWE YANI NKAMMRUDISHA HALAFU MI NDIO NKALA BATI MAZIMA..ILA SIJAMUACHA...ILA MMIEZI SITA ISHAKATA NAMSAHAU ILA SIJAMUACHA...NINA WENGINE WENGI TU ILA SIJAMUACHA.IN SHPRT SIACHAGI MWANAMKE KWA MANENO AU TEXT...MI NAFANYA YANGU TU KAMA AKINITEXT POA ASIPONITEXT POA
 
Kumbe wanaume kuacha kimya kimya ndo zetu ila huwa wanateseka sana wadada...![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Chapa Malapa huko wajifanya mzuuuuurii kwanza sura yenyewe kama ya anko j
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enzi zetu sie ilikuwa hakuna simu
Siku naachana na mwali wangu cha kwanza nilimwambia “SIKU NIKIKUONA MTAANI KWETU CHA MOTO UTAKIONA”
Huku nae akinijibu “MTU MZIMA HATISHIWI NYAU”
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…